Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Mama J a.k.a Snura mzunguTafadhali, naomba utumie neno makolo badala ya utopolo.
Ahsante kwa kunielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama J a.k.a Snura mzunguTafadhali, naomba utumie neno makolo badala ya utopolo.
Ahsante kwa kunielewa.
Mods naomba msiifute, niliweka mkafuta, I am in dire need to get clarification before making decision where to join
Niko kwenye dilema huyu kijana anakwenda kusoma nini na applicability yake kwa Tanzania.
Inahusu nini hasa maana siyo pure engineering classical one .
Anapata utaalamu gani na position yake katika employment industry ikoje kwa hapa kwetu.
Anakuwa na utaalamu gani?
Naona university za nje wanayo... seems kwao ni nzuri lakini kwetu sidhani..Hii couz ilianzishwa kutolea pale Udsm ikiitwa bachelor of science in industrial engineering haina utofauti saana na mechanical kwa sababu wanasoma baadhi ya masomo pamoja plus wao wanaongezea masomo ya engineering management
Kwa upande wa kazi wanafanya kazi zote anazoweza kufanya mtu wa mechanical
Hasa hasa civil engineering ndio nzuri kwa sasa hafi njaa, pia nyingine ni chemical processing engineeringKozi za kusoma ni ELectrical,Civil,Mechanical ,Chemical n processing zingine zote utapoteza muda bure
Hakuna kitu kama icho iyo kozi inadili na Management tu hauwi Engineer
Wew unasemea maengineer ,ila kamwe Mzumbe haitoi maengineer na hiyo kozi hauwi Engineer iyo inahusu management tu wapigie mzumbe uwaulizeUsipende kujibu kitu usichokijua kuna industrial engineers wengi tu wamesajiliwa kama professional engineers pale engineers registration board.
Nenda pale erb posta ukauulize upate elimu
Tatizo hujui vigezo vya engineering mtu wa CBG na engineering wapna WAP!?Usipende kujibu kitu usichokijua kuna industrial engineers wengi tu wamesajiliwa kama professional engineers pale engineers registration board.
Nenda pale erb posta ukauulize upate elimu
Wew unasemea maengineer ,ila kamwe Mzumbe haitoi maengineer na hiyo kozi hauwi Engineer iyo inahusu management tu wapigie mzumbe uwaulize
Baadhi ya couz wanazoshare na mechanical
Engineering design
Industrial service and maintenance
Strangth of materials
Workshop
Automotive engineering
Renewable energy
Thermodynamic
Engineering project management
Fluid mechanics
Industrial energy management
Ect.
But kuhusu mzumbe siijui yao wanatoaje but kwa hii ya udsm iko poa
Dah kwan wew una ID ngap !? Tuanzie apo kwanzaMkuu acha kukurupuka basi angalia post yangu wapi nimesema mzumbe wanatoa maengineer mie nimezungumzia kwa upande wa udsm tu ninayoifaham na siyo mzumbe.,
Em ondoa hiyo eng mwanzoni mwa jina lako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiangalie uzuri wajina la kozi ,tatizo lipo kitaani mzee hao niliokutajia ndio wanauza sokoni.Yaani kama muziki Kiba anaimba sana lakini Mond ndio anauza sokoni😂😂Wewe mbona Engineering yako kali imesimama ila ajira ulikosa. Hizo ulizotaja nazo zina changamoto