HESHIMA KWAKO, na huo ndo msingi wa haki zooote duniani, hakuna mwenye haki yakuhodhi uhuru wa wengine kufikiri,kutoa mawazo yao, hakuna mwenye haki zaidi ya kujadili mustakabali wa taifa hili......na hayo ndo maisha lazima watu wajifunze kuvumilia mawazo yawengine.Kila mtu anayo haki ya kusema na kutoa maoni yake mwenyewe maana kila mtanzania ni haki yake ya msingi
Ben, swala moja ni kuwa sio lazima Waislamu waige kila Wakristo wanachofanya, maaana waswahili walisema kumuiga tembo huishia kuchanika msamba !
kwani wao waislamu wanawasiliana vipi na waumini wao ? wao waendelee na taratibu zao katika kujadili ujenzi maridhawa wa taifa hili.
kwa mfano Wakatoliki wamekua na taratibu zao za kupeana nyaraka zao kila baada ya muda fulani, wao wanamambo wanayoamini kuwa ili mtu aweze kuabudu vyema ni lazima mazingira yaletwayo na hali ya kisiasa yawe tulivu, uchumi uwe mzuri na mambo kama hayo.
sasa kukaa nakujadiliana eti na watu wadini nyingine namna yakuendesha kanisa huo ni ujinga, na haukubaliki.
kuna makundi ya watu yanadeka sana nnchi hii, wanapenda kulialia, wanahamishia matatizo yao yakihistoria kwa wengine. kifupi adui yao namba moja ni wao wenyewe.
Pale ulikomwambia Tumain ,wao waanzishe waraka wao.Yote haya yanachochea udini kama tukiyapeleka ktk siasa ndugu yangu.It's risky!
Wamependelewa vipi wakati 75% ya viongozi wetu ni waislam
unajua kuna mambo ya kisanii ambayo JK na makundi ya watu wake wa CCM wanayafanya, ikiwemo kuutumia mwanya wa Watanzania wengi kutokujua hakizao na uvivu wa Watz wengi kufuatilia mambo.Sasa Kwenye Hoja:
Ni kwa nini hawa wakuu walichelewa kutoa huo waraka kabla ya ile bill ya gharama za uchaguzi?
HESHIMA KWAKO, na huo ndo msingi wa haki zooote duniani, hakuna mwenye haki yakuhodhi uhuru wa wengine kufikiri,kutoa mawazo yao, hakuna mwenye haki zaidi ya kujadili mustakabali wa taifa hili......na hayo ndo maisha lazima watu wajifunze kuvumilia mawazo yawengine.
Hapo nimekupata Mkuu.Kweli nilikosea.Tumain huwa ananiudhi sana,yeye kila siku ni negative tu..Yaani asisikie mambo yanayohusu Ukristo au mambo yanayohusu CHADEMA atatoka huko alikokuwa hata kama ni uvunguni,aje achafue hali ya hewa.
wanataalum au udini mtupu..blah blah ...anzisheni chama cha siasa..au jiungeni na CCJ maana tunafahamu imetokana na waraka wenu ...msisumbue watu ...hakuna jipya kutoka kwa wakatoliki zaidi ya kupenda kupendelewa na kupenda kupita kutawala watu wenginee.. ...tunafahamu mmeshaanza kampeni zenu kanisani lakini.hadangayika mtu..siku hizi..
-Hebu tuajadili hii hoja bila ushabiki wa kidini.mimi kwa kusema kweli sikupenda hii kitu ambayo watu wamejitangaza wanataaaluma wa kikristu,sasa hapa ndipo udini unapokuja.
Mimi napinga hiyo taasisi kujihusisha na masuala ya kisiasa coz casuality yake ni kubwa kuliko wanavyofikiria.Tuacheni hizi elements za ubaguzi
Kwenye Hoja:
Hawa wanataaluma wangefanya jambo jema sana kama wangewaamsha tu wananchi na kuwapa elimu ya Uraia bila kuishambulia CCM.
unajua kuna mambo ya kisanii ambayo JK na makundi ya watu wake wa CCM wanayafanya, ikiwemo kuutumia mwanya wa Watanzania wengi kutokujua hakizao na uvivu wa Watz wengi kufuatilia mambo.
Yeye anapaswa kutuomba radhi kwakuruhusu kampeni zake kutumia pesa chafu tena chafu sana , kabla yakuibuka na porojo za sheria ya kuzuia fedha chafu.
nakwambia hawana nia , uwezo wala moyo wakuisimamia sheria hiyo.
kama sheria yakuanzishwa takukuru ingeweza kusimamiwa vyema hakuna ambae angeweza kutumia rushwa kwenye chaguzi.
sasa wanataaluma hao, wanaposema kuwa JK na WanaCCM wenzake waje wasimame watueleze 2005 walitumia mamilioni mangapi kununua kura, hakuna kosa, wala haichochei udini, wala waislamu wakisema hawatakua wanachochea udini.
Ben, tusihodhi haki yakujadili mustakabali wa taifa letu, waacha watu waseme, ili mradi hawavunji sheria.
Kila mtu anayo haki ya kusema na kutoa maoni yake mwenyewe maana kila mtanzania ni haki yake ya msingi
Tumaini long time! mkuu uko wapi?
Nakubaliana na wewe japo unapata upinzani mkali;
Sijaona sababu, utashi ,wala any reasonable explanation ya mtanzania kujitokeza kutaka haki au kupigania haki ya mtanzania kwa kutumia kimvuli cha kikundi fulani.
Vyama vya siasa, wanaharakati tumewapa hili jukumu. However, I am not saying they should not perticipate or advice anything no! but why are you saying 'mkristo'
Tanzania haina udini kama wengine mnavyotaka ionekane.
Tuma hoja yake ni ya msingi, japokuwa ameenda mbali sana (kwa mfano kusema wakatoliki kupendelewa na wameanza kampeni makanisani -hii kwangu I can testify kuwa si kweli)
Hoja ya msingi ambayo kila mmoja anapaswa kulaani ni kuwa hawakupaswa hawa watu kujitokeza kwa kivuli cha wana taaluma wakristo. Hivi wakristo wanataaluma wana chama? mbona mimi mkristo na niko tayari kumpigia kura mtanzania yeyote ninayeona anafaa! Hivi kwa nchi ya TANZANIA ukishasema mkristo, mwingine akasema mwislamu, then tutaenda mbali tutaanza kubaguana kwa madhehebu ambako kuna mgawanyiko mkubwa.
Fuatilieni na angalieni hao wanataaluma wakristo ni wa madhehebu gani? mimi mwenyewe ni mkristo na nimesoma, ala! mbona sikijuia hicho chama?
je wakiona mambo hayaendi watafanyaje? sio ndio wataona waanzishe chama cha siasa ambacho kita-comprise wakristo?? common tell them they are DEAD WRONG!
Well said Ben, let us discuss facts here, ushabiki wa ukipofu hautalisaidia lolote taifa hili.
Hatuna matabaka ya kidini serikalini wala katika ngazi za uongozi, dini zao waziweke makapuni wao na familia zao. sikatai wana haki ya kusema na kufanya lolote lile kama wananchi, lakini why are you introducing as christian?
wakisema watanzania, haitoshi? what are we up to????
Usitake kubadili mwelekeo kama kawaida yenu...wanataalum wanahangaika kutoka waraka si upuuzi mtupu si wajiunge na vyama vya siasa..blah blah...
Sijaona wakitoka waraka wa kulaini ushoga kanisani ..kama siyo upupu ni nini?
Ohoo Waberoya umeturudisha kule kule tena! sasa kama wenyewe ni CPT na wametaka kutoa mawazo yao wangebadilisha identity yao? Yaani JF kwa kuwa ina mlengo fulani tukitoka kutoa mawazo kwa umma tubadilishe identity yetu eti kisa watu watafikiria kuwa tupo ktk mlengo ule? NO, hiyo ni organization na there is no need for them to hide their identity? Pengo akitaka kuhoji serikali aifche identity yake kama ni Askofu wa RC?
Bolded is the line to take an account of
Mkuu unaweza ku-compare waraka wa wakatoliki na ule wa waislamu? upi kwa mawazo yako unafikiri ulikuwa positive kwa jamii ya kitanzania? Pengo akijitokeza kutoa maoni atayatoa kama Pengo, na akisema RC wamemtuma atasema ni RC. huwezi ukaficha identity yako , lakini hiyo identity nani anakupa?
briliant nadhani tunaweza kuwa na macho na tukaona lakini tusielewe kuchambua kujua ule ni mkia lile sikio, ile miguu na mengine. nyaraka zije lakini huu sijui kama waweza itwa waraka wa CPT siwezi kukubali. kama CPT wanasema watanzania watafakari kabla ya kuichagua CCM waseme wametumwa na nani. JF haijatumwa na ndiyo maana humu ndani tunafikia kipindi twatoleana hata lugha chafu lakini jahazi laenda, NGOs kama CPT zinapotokea na kudirect watanzania cha kufanya JF haikai kimya na katika huko ndipo tunaibua hoja na kujua ni nani na nani wanasema nini na hata mtazamo wao ukoje;Mkuu unaweza ku-compare waraka wa wakatoliki na ule wa waislamu? upi kwa mawazo yako unafikiri ulikuwa positive kwa jamii ya kitanzania? Pengo akijitokeza kutoa maoni atayatoa kama Pengo, na akisema RC wamemtuma atasema ni RC. huwezi ukaficha identity yako , lakini hiyo identity nani anakupa?
Wamependelewa vipi wakati 75% ya viongozi wetu ni waislam
hii ya kutafuta asilimia ya viongozi na kuibuka eti ni 75% ni ujenzi wa chuki, hivi kweli unachosema au unachojua kiongozi maana yake ni rais, waziri, mbunge na pengine mkuu wa mkoa. acha unafiki, acha chokochoko, acha uzandiki, acha majungu jenga nchi. sorryHapo nimekupata Mkuu.Kweli nilikosea.Tumain huwa ananiudhi sana,yeye kila siku ni negative tu..Yaani asisikie mambo yanayohusu Ukristo au mambo yanayohusu CHADEMA atatoka huko alikokuwa hata kama ni uvunguni,aje achafue hali ya hewa.
mmmh sometime nachoka na hizi hoja siganaWewe upeo wako ni mdogo sana na umetawaliwa na fikra za udini. Leta hoja yako kuhusiana na hiyo tafakari (sio waraka). Kwa maoni ya CPT hawa CCM ndio wanaokwamisha demokrasia. Wewe unaonaje? Suala la dini hapa linatoka wapi? Nyie watu mna matatizo sana.
RAY B, sina shaka unajua identity yaweza tumika kuangamiza taifa. hivi kusema wanataaluma wakristo, mbona watu hatuijui. halafu imeibuka tu. ni kikundiambacho kilianzia kati ya makanisani au katika fellowship na kwa vile ni cha wakristo lazima watakuwa wa madhehebu fulani tu; uhakika nilio nao wakatoliki hwamo kama wanabisha waambie CPT waweke humu JF katiba yao na mwongozo, waweke na taarifa zao zote na ni vema wakatuwekea na orodha ya wanachama wao kwa maana wanawafahamu kama JF ilivyo kila mmoja anajifahamu kuwa uanachama wake ni wa rank ipi, mie leo nimepata kuwa senior member. nao watupe orodha, walianzishwa lini na malengo ni yapi. itakuwa njema wakiupload costitution na memoranda of association including certificate of registration isije tukawa wana JF tunajadili mambo kumbe watu wenyewe wako wawili (aliyejitambulisha mwenyekiti na mke wake. hapo wakifanya hayo JF tutakuwa right. si kila kitu cha kutuweka attention wakubwa.Ohoo Waberoya umeturudisha kule kule tena! sasa kama wenyewe ni CPT na wametaka kutoa mawazo yao wangebadilisha identity yao? Yaani JF kwa kuwa ina mlengo fulani tukitoka kutoa mawazo kwa umma tubadilishe identity yetu eti kisa watu watafikiria kuwa tupo ktk mlengo ule? NO, hiyo ni organization na there is no need for them to hide their identity? Pengo akitaka kuhoji serikali aifche identity yake kama ni Askofu wa RC?
Bolded is the line to take an account of