WCF nilikuwa napata shida kumwelewahivi ni WFC au WCF
RITA & NIDAMkuu Kuna mlundikano wa taasisi nyingi zinazofanya kazi sawa..
Acha ziunganishwe tu, maana majukumu yao yataendelea kufanyiwa Kama kawaida tatizo ni kuacha sheria zifanye kazi
Mie nadhani watakuwa sahihi tu. Hawa WCF wanafanya ambazo kmsingi kampuni za bima zinapaswa kubeba huo mzigo.Hivi hii WCF ni nani anachangia huko, mwajiri, mwajiriwa au wote? Endapo kwa namna yoyote mwajiri akawa anachangia, mifuko hii miwili ikaunganishwa, mwajiriwa ataendelea kuchangia kwa kiasi kile kile kama anachangia mifuko miwili tofauti? Hivi waajiriwa wanachangia;
NSSSF 10%
NHIF 5%
WCF ???
TUCTA, TUGHE, TUICO, TRAAWU, n.k 2%
Ni hivyo?
Shusha shule kidogo hapa mtaalamu tunufaike na tujue ni kwa jinsi gani huwa tunakurupuka na kurudi kwaenye mstari wakati tumeshachelewa.Mie nadhani watakuwa sahihi tu. Hawa WCF wanafanya ambazo kmsingi kampuni za bima zinapaswa kubeba huo mzigo.
Kuna kitu kinaitwa GPA- Group Personal Accident ambayo ipo pana zaidi kuliko hii ya WCF.
Waweke benefits vizuri na zinazoeleweka kwa wananchama wake.