CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Hapa nilipo naendelea kuhesabu idadi ya watu waliokufa kwa kunywa soda mpaka muda huu.Isiwe sababu ya kujiwahisha mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nilipo naendelea kuhesabu idadi ya watu waliokufa kwa kunywa soda mpaka muda huu.Isiwe sababu ya kujiwahisha mapema
Semenya bana unaogopa kufa?!Ila bado utakufa tu.![emoji276]
Yani nilishangaa kwa kweli,wakati kuna Dr mmoja nilikuwa nikiiuguliwa na watoto ghafla na hatuwezi kwenda Hosp usiku huo nikikuwa nikimpigia simu kutaka ushauri Wa haraka,ye alikuwa ananishauri nisipanic ila nimpe mtoto maji ya kutosha mpaka pakuche nimlete Hosp.Dah....! Sijui tukimbilie Wapi? Niliwahi Kusoma Sehemu Daktari Mkubwa kabisa pale Jakaya Muhimbili anaonya Unywaji Wa Maji kupita Kiasi ni Hatari Kwa Afya Yako....!
Endelea tu mana siku hizi magonjwa ya wazee/uzeeni wamewarisisha vijanaHapa nilipo naendelea kuhesabu idadi ya watu waliokufa kwa kunywa soda mpaka muda huu.
Hasa nyie hapo dasarama mliokula viepe vilivyokaangwa na mafuta yaliyokuwa yakiibwa toka tanesco MNA hatari sana.Endelea tu mana siku hizi magonjwa ya wazee/uzeeni wamewarisisha vijana
Yani haishuki kabisa bila coca bariiidii.Mfano mtu unakulaje chips kuku au nyama choma na ndizi roast bila coke baridi ya kushushia jamani?
Ulitaka ufe lini?tuambie deadline ya kuishi ambayo kila mwanadamu anatakiwa aifikie ni ipi?..hakuna aliyekuja kulinda dunia..kuondoka utaondoka tu..pia nipe faida ya kufa ukiwa na afya njema?Ukitumia Sana unakufa mapema zaidi.
Naona uko na umri sahihi wa mtu kuishi hapa duniani..kwamba sote tufe sawa sawa na unavyotka wewe..uhai na uzima ajuaye mola..unaweza uishi maisha yote ya kiafya..ila kesho ukagongwa na pikipiki ukafa.Wote mtakufa lakini wewe ambae hujali afya kisa kigezo cha utakufa tu, utakufa kifo cha mateso mno, maisha kwako yatakuwa mafupi.
Shushia na maji ya kandoro..[emoji16][emoji16][emoji16]Mfano mtu unakulaje chips kuku au nyama choma na ndizi roast bila coke baridi ya kushushia jamani?
Upo mkoa gani .Zaman mgonjwa wa moyo tulikariri ni yule mnene, hivohivo presha na kisukar tulidhani wanene ndio wenye hiyo hatari, lakin saizi ata uwe kimbao mbao hayo magonjwa hayachagui.
Kikubwa kuzingatia mlo mzr tu. Maji ni kinywaji fulani kitamu lakini hakina sukari.
Mimi naelekea kumaliza mwaka sasa sijatumia soda yoyote au juice yoyote 😁, najua kuna mtu atakuja kusema ni ukata nilio nao, ila ndiyo nakubali😁😁 ila huwa sipo interested na hivyo vinywaji.
Sasa boss maji ni Dawa,ukiweza kwa we we MTU mzima kupata walau Lita tano daily hata kama uko addicted na soda hayo maji yata flash sumu zote mwilini kwa njia ya mkojo.Ya kutosha ni tofauti na kupita kiasi.
😂😂😂Kupita kiasi ni kama yale unameza ukizama majini, unakufa.
Naiona ile takwimu iloyotolewa kwa watoto wanaozaliwa sasa hivi na Wa miaka michache iliyopita kuwa life span ya mtz inaenfa kuwa 45ers inaenda kuwa mubashara kabisa.Hizo energy drinks watu wanakunywa eti kama kiburudisho hasa hawa day workers.
Wewe ni mimi tu. Kumbe had 25/12Upo mkoa gani .
🤣😂Karibu siku ya Christmas upate soda
....Mfano mtu unakulaje chips kuku au nyama choma na ndizi roast bila coke baridi ya kushushia jamani?
Tambua ya kwamba kitu chochote anachotumia binadamu ni hatari pia kwa afya yake.Soda na Soft drinks zote ni hatari kwa afya ya binadamu. Binadamu hakuumbwa kubugia sukari nyingi namna anayobugia leo. Sukari nyingi huleta unene wa kupitiliza, kitu ambacho huleta kisukari, magonjwa ya moyo nk.
Ni wakati sasa, kama ilivyo kwenye bia; Kwa matangazo yote ya vinywaji laini na kwenye chupa zao kuwa na tangazo la onyo kuwa unywaji kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.