Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

ZVI ZAMIR

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
921
Reaction score
2,163
kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia saa nane mpka kumi na moja).mnakaribishwa nyote.
1685862380859469763794761693475.jpg
16858630567114025938674583937007.jpg
16858630893173641115537676030215.jpg
 
Modes naomba mrekepishe hapo isomeke watani na sio wanatani.
 
Mwarabu asitutanie , iwe isiwe kombe letu la CAFcc lazima lije Jangwani.

Tumemtuma KISINDA akaliibe alilete Maana tunajua hakuna wa kumkamata kwa jinsi anavyojua kukimbia.
 
Mwarabu asitutanie , iwe isiwe kombe letu la CAFcc lazima lije Jangwani.

Tumemtuma KISINDA akaliibe alilete Maana tunajua hakuna wa kumkamata kwa jinsi anavyojua kukimbia.
Akisaidiana na moloko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom