Wanatia huruma Kwa kweli!

Wanatia huruma Kwa kweli!

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Tangu Mama kashika usukani kutwa kucha wamekuwa wakiwanga afeli

Walitegemea miradi ya kimkakati itafeli wapate cha kuongea badala yake miradi inaendelea na hakuna kilichosimama, kuanzia bwawa la Nyerere,SGR, madaraja ya Tanzanite na Busisi na Bandari za Mtwara, Kalema na Tanga

Walitegemea mapato yatashuka Kwa sababu ya mama kutumia akili badala ya maguvu kinyume chake mapato yako mswano na kodi inakusanywa bila kelele na mambo yanaenda

Walitegemea mgao wa umeme utaendelea ili wachonge zaidi kinyume chake Hakuna mgao na Tanesco wanapiga mzigo wa hatari kuongeza vyanzo vya umeme na hali shwari kabisa

Mwisho walitegemea atakosa hela za kuongeza mishahara baada ya Mzee wao kushindwa kuongeza mishahara kwa miaka 6, kinyume chake Mama kaongeza mishahara na hakuna mradi uliosimama

Sasa wamebaki kulalama tu, Mara haiwezekani, mara hakuna mapato , wamesahau kuwa Mungu wao alikopa huku akidanganya kufanya miradi kwa pesa za ndani alafu hata mishahara hakuongeza!
SGR inajengwa kwa mkopo, madaraja mikopo, Barabara mikopo alafu akasotesha watumishi miaka 6 bila nyongeza

Mama endelea kuupiga mwingi, hawa vizabizabina lazima wawehuke na kuvaa bukta kichwani safari hii! Unawachanganya na chuki zao si mchezo!😂
 
Nasikia kuna nchi zinamtaka anataka kuhama, could you speed up that process pleaaase!
 
Yaani mambo yanakwenda, enzi ya JPM ungedhani kuongoza nchi ni sawa na kutafuna kokoto
 
Jinga kabisa kwani hujui juzi tu waziri mkuu alilakamika kuhusu mradi wa meli mza ulivyosimama na pesa wamekuala?
Na bado bwawa la nyerer tumeanza kudaiwa faini ya ucheweshaji zaidi ya bilioni 8 na kuendelea.
Wewe uko dunia ya wapi au ndo mnakula asali sasa mnabwatuka tu bila kujua hali ilivyo.
 
Hakukuwa na plan ya kujenga BRT kutoka Morocco mpaka Tegta huko? Barabara ya kwanza ikfumuliwa na ujenzi ukaanza? Naona imebadilika na kuwa upanuzi wa barabara uliokwama!

Moro road, wameshatoa mapipa na kuweka taa?

Treni inaanza lini?
 
Back
Top Bottom