Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tangu Mama kashika usukani kutwa kucha wamekuwa wakiwanga afeli
Walitegemea miradi ya kimkakati itafeli wapate cha kuongea badala yake miradi inaendelea na hakuna kilichosimama, kuanzia bwawa la Nyerere,SGR, madaraja ya Tanzanite na Busisi na Bandari za Mtwara, Kalema na Tanga
Walitegemea mapato yatashuka Kwa sababu ya mama kutumia akili badala ya maguvu kinyume chake mapato yako mswano na kodi inakusanywa bila kelele na mambo yanaenda
Walitegemea mgao wa umeme utaendelea ili wachonge zaidi kinyume chake Hakuna mgao na Tanesco wanapiga mzigo wa hatari kuongeza vyanzo vya umeme na hali shwari kabisa
Mwisho walitegemea atakosa hela za kuongeza mishahara baada ya Mzee wao kushindwa kuongeza mishahara kwa miaka 6, kinyume chake Mama kaongeza mishahara na hakuna mradi uliosimama
Sasa wamebaki kulalama tu, Mara haiwezekani, mara hakuna mapato , wamesahau kuwa Mungu wao alikopa huku akidanganya kufanya miradi kwa pesa za ndani alafu hata mishahara hakuongeza!
SGR inajengwa kwa mkopo, madaraja mikopo, Barabara mikopo alafu akasotesha watumishi miaka 6 bila nyongeza
Mama endelea kuupiga mwingi, hawa vizabizabina lazima wawehuke na kuvaa bukta kichwani safari hii! Unawachanganya na chuki zao si mchezo!😂