Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa, makende yako yako mkundn hadi uyakalie?Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.
Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.
Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.
Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Nyumba yangu ina vyoo 6 plus 2 vya nje kwa ajili ya wafanyakazi kama gardener na walinzi.Nyumba yako ina vyoo vingapi vya kukaa. Au mnagongea hicho kimoja ulichokijenga kwa tabu.
Nimekuelewa bossHuku tu kwenye fani ya ujenzi vinajulikana kama "asian type" hivyo mtu asipofanya description kwenye orodha ya vifaa maana yake choo kinachotambulika ni cha kukaa "European type" hivyo kwenye miradi mikubwa choo ni cha kukaa unless uweke description kwamba unataka cha kuchuchumaa
Choo cha kukaa kinatakiwa kioshwe daily kama sahani au kikombe kwa kutumia detergent.Nawaza kwa sauti wale wanaosema vyoo vya kuchuchumaa ni ushamba na uzamani basi waweke public toilet choo cha kukaa hasa masokoni, stand n.k hapa Tanzania ndio tutaelewa mzungu ni mchafu
UISLAM UNASEMAJE KUHUSU HOJA HII YA MLETA MAADA?Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.
Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.
Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.
Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Una ushauri upi kama nataka kujenga Airbnb niweke zipi au bothHuku tu kwenye fani ya ujenzi vinajulikana kama "asian type" hivyo mtu asipofanya description kwenye orodha ya vifaa maana yake choo kinachotambulika ni cha kukaa "European type" hivyo kwenye miradi mikubwa choo ni cha kukaa unless uweke description kwamba unataka cha kuchuchumaa
Wee..! so hatukusi nya tena..???Boss
Hii ni study yako.
Ungetusaidia waliopasuka makende wako wapi na hao wanene wasioweza kujisafisha.
By the way siku hizi vinatoa maji unasafishwa moja kwa moja
Alafu watu wabishi ukiwaambiaIle kukata gogo tis tis tis maji yanarukia matakozi hapana!! Kujisafisha kwa kuinama hapna!! Kifupi heka heka zake ni kama mtu unaloga tu vile 😂😂😂
Hata madaktari wanaponda piaNamna Mojawapo ya kumjua mtu mshamba na asie na exposure ni akianza kuponda vyoo vya kukaa
Weka vya kukaa vya kuchuchuma vishapitwa na wakati ,vyoo vya kukaa vizuri mnoUna ushauri upi kama nataka kujenga Airbnb niweke zipi au both
Aruguments za waswahili ni za kipuuzi sana. Wanaume wangapi wamepasuka kende kwa kukaa kwenye kiti?Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.
Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.
Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.
Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Ntafanya hivyo AsanteWeka vya kukaa vya kuchuchuma vishapitwa na wakati ,vyoo vya kukaa vizuri mno
Namna Mojawapo ya kumjua mtu mshamba na asie na exposure ni akianza kuponda vyoo vya kukaa
Hongera mkuu hapo utakuwa umekwepa magonjwa.Nyumba yangu ina vyoo 6 plus 2 vya nje kwa ajili ya wafanyakazi kama gardener na walinzi.