Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Hii hoja yako si ina hoja ileee. Kwa nini usiende moja kwa moja kwenye mada ya matumizi ya maji kujisafishia.
Lakini siku zote hakuna kisichokuwa na changamoto all in all tunaangalia kile chenye walakini.. vyoo vya kukaa hata kama ni private bado shida iko pale pale kulingana sababu kadha na kadha kama mwili hali ya mtu na kadharika
 
Umaskini nao unachangia kuvielewa. Wazungu hawajui kabisa kama kuna vyoo vya kuchuchumaa vilipotea miaka 200 iliyopita kwao.
Labda kama sijui lakini nikuulize mkuu,unadhani wote tuliochangia huu uzi hatuna uwezo wa kununua hayo mavyoo ya kukaa?

Kwani sink moja la choo cha kukaa approximately linauzwa million ngapi?well kama ni juu ya mill hata mimi sinunui lakini kama bei ni hizi hizi 120K to 400K huninunulishi huo uchafu maana mwisho wa siku mtumiaji hana tofauti na aliyekunya porini.
 
Hivi kuna tofauti kati ya makende na mapumbu? Maana kuna sehemu umeandika pumbu erassion
 
Wewe umefika tu, sisi tunaishi nao kabisa. Hawajui.

Sio vyoo tu hawajui hata kanda za radio cassette, kupandisha kioo cha gari kwa mkono (manually) nk let alone hivyo vyoo.

TZ bado mnapewa msaada wa ujenzi wa vyoo vya shule na balozi za nje. Watz huko maporini wengi tu hawana vyoo kabisa ndo maana kipindupindu hakiishi hadi leo wakati Ulaya na Amerika cholera iliisha miaka 300 iliyopita.

Kuna mbongo alikuja na malaria kiwanja hospital aliyoenda hawakuwa na dawa specifically for malaria sababu haya magonjwa kwao ni hadithi za miaka ya kale. Ukiumwa cholera kiwanja leo hii chances are hawana dawa yake wakati bongo bado inaua watu sababu wanakula kinyesi chao.

Vyoo vya kuchuchumaa ni story za kale mbele huko, wabongo wanavipenda sababu ya umaskini bado wanataka vyoo vya shimo wasimwage maji na hawaoshi mikono, wanakula kinyesi chao wanaumwa kipindupindu wanadanja.
Wewe umejuaje siishi nao?
Msipotoshe watu,kutumia vyoo vya kuchuchumaa sio umasikini,ni mazoea Tu kama wao ambavyo hawatumii maji.

Wewe umekariri choo cha kuchuchumaa ni cha shimo?

Ipo siku mtasema kutumia maji chooni ni umasikini,ulaya wana sababu kabisa za kuzoea kutotumia maji chooni.
 
Ntafanya hivyo Asante
Ingawa kuna wengine unakuta hataki kukaa kwa sababu wengine wanajisaidia wima na kuchafua sehemu ya kukalia
Inatokea sana hii na nimeona vyoo vinavunjwa kwa wengine wanaokaa juu ya toilet seat kabisa kama anaendesha farasi 😄 🤣 😂
Kwa Airbnb vyoo vya kukaa ni vizuri mim sipendi kabisa vya shimo 🙈🙈🙈
 
HII NI ATHARI YA VYOO VYA KUKAA HASA KWA WANAUME.
MUNGU AMETUUMBA KWA USTADI MKUBWA, ILE VALVE HUKO NYUMA, INA KAZI MAALUMU. UNAPOCHUCHUMAA, TENA NI LAZIMA USUKUME YAANI UJIKWINYE, NDIPO MZIGO UNATOKA.

KAMA VALVE NI NZIMA, HATA UKICHUCHUMAA KAMA HAUJASUKUMA KWA NGUVU, MZIGO HAUTOKI. LABDA USUMBULIWE NA TUMBO LA KUENDESHA,

ZINGATIA HILI NENO, "VALVE AMBAYO BADO NI NZIMA" NI LAZIMA USUKUME.

UNAPOTUMIA CHOO CHA KUKAA, HAIKUPASI KUTUMIA NGUVU ILI MZIGO UTOKE, BALI MZIGO UTAKUTOKA AUTOMATICALLY, YAANI TARATIIIIBU TENA RAINI KAMA UNANAWA

MTINDO HUU HUPELEKEA VALVE KUFA. YAANI HAITOKUWA NA UWEZO WA KUFUNGA NA KUFUNGUA. MATOKEO YAKE NI KWAMBA UNAPOBANWA NA HAJA, ITAKUBIDI KWA HARAKA UENDE MALIWATO

UKICHELEWA KUKIPATA CHOO KWA WAKATI, LAZIMA UTAAIBIKA, MZIGO UTAKUTOKA PAPO HAPO. HII NI KWA7BU VALVE IMEKUFA

MBAYA ZYD KWA MADEREVA, UKISHIKWA NA HAJA TENA UPO BARABARANI, MZIGO UTAKUTOKA. MWILI UMESHAZOEA KUACHIA HAJA UKIWA UMEKAA. NAWE KWENYE GARI UMEKAA, HAPO HAKUNA CHAKUSUBIRI, NI MWENDO WA "HUMU TU"

UZIMA WA MWANAUME NI NYUMA, NARUDIA TENA, UZIMA WA MWANAUME NI NYUMA, KWENYE SITA KWA SITA, MWANAUME UNAPOKAROBIA KUFIKA MSHINDO, NJIA ZOTE ZILIZO WAZI ZINATAKIWA KUJIBANA. USITOKWE NA UPEPO SEHEMU YOYOTE, NDIPO UTAUFIKIA MSHINDO

VALVE INAPOKUFA, UPEPO UTATOKA KIHOLELA HOLELA (KUJAMBA). HII NI HATARI KWA MWANAUME

MOJA YA VITU WANAVYOTUMIA WANAOSAMBAZA USHOGA DUNIANI, NI CHOO CHA KUKAA. EWE MWANAUME, KAMA UNATAKA KUULINDA UANAUME WAKO, EPUKA VYOO VYA KUKAA, UTAKUJA KUNIKUMBUKA

NATOA ANGALIZO KWA WAZAZI HASA WAKINA MAMA. KATIKA KUMUOGESHA VYEMA MTOTO WAKO WA KIUME, EPUKA KUMSHIKA SHIKA (KUMSAFISHA) SEHEMU ZAKE ZA NYUMA YAANI MAKALIO, MUOGESHE VIZURI HALAFU MFUNDISHE AJISAFISHE MWENYEWE HUKO MAENEO YA MBAGALA.
 
Ni kucheza na kale ka-ring tu, mtu akienda kujisaidia anakashusha ili akalie kuzuia contact ya mwili na choo na akimaliza anakasimamisha pamoja na mfuniko. Changamoto inakuwa kwetu sie wanaume, unakuta mtu amejisahau hajakainua akijua kukojoa anaagizia bila kukasimamisha wakati kale kapo Kwa ajili ya kukalia tu hivyo mtu akikojoa kwa sie tunaokojoa huku tumesimama tayari unakachafua na ndio maana inatakiwa izoeleke mtu akikaa akimaliza anakanyanyua ili ataefuata ndo akishushe wakati anatumia
.All in all umuhimu wa hivi vyoo vya kukaa huwa unaonekana kukiwa na mgonjwa wa kubebwa
Huo utaratibu binafsi ndio naufaham leo sikuwa naujua.
 
Wewe umejuaje siishi nao?

Ulijibu mwenye hapa.
Nimefika nchi moja ulaya,baadhi ya majengo kuna vyoo vya kuchuchumaa,sema ni viachache sana.

Wanatumia TP na toilet bidet hose (kibomba cha maji) hamna kushika mavi yako.

Bongo mtu anachamba kwa mkono, anashika mavi yake na bathroom hakuna hata sink la kuosha mkono ataacha vp kuumwa kipindupindu?

Umaskini sio choo tu hata miundombinu nayo inachangia. Vyoo vya kukaa vinahitaji maji mengi na usafi wa hali ya juu ambao wabongo wengi hawana hata majumbani mwao na maji bongo ni anasa sio basic need.
 
Labda kama sijui lakini nikuulize mkuu,unadhani wote tuliochangia huu uzi hatuna uwezo wa kununua hayo mavyoo ya kukaa?

Kwani sink moja la choo cha kukaa approximately linauzwa million ngapi?well kama ni juu ya mill hata mimi sinunui lakini kama bei ni hizi hizi 120K to 400K huninunulishi huo uchafu maana mwisho wa siku mtumiaji hana tofauti na aliyekunya porini.

Umaskini not wewe necessarily. Kuna umaskini wa miundombinu/miundombinu duni rather ambao ni nje ya uwezo wako. Changamoto ya maji nchi maskini ni kubwa wakati mbele maji yapo kila kona.

Vyoo vya kukaa vinahitaji maji mengi na usafi wa hali ya juu ambao wabongo wengi hawana sio public bathrooms tu hata majumbani mwao.

Bongo kuosha mikono tu unaonekana unatumia maji vibaya. Hela za kununu TP hakuna. Kuchamba kwa toilet bidet hose (kibomba cha maji) badala ya kushika mavi kwa mkono hii yote ni anasa kwenye nchi maskini wakati mbele hadi kwenye homeless shelters ni huduma ya kawaida.

Nchi inayopewa msaada wa ujenzi wa vyoo hadi leo lazima iwaze kimaskini maskini mambo ambayo wengine washapita miaka 300 iliyopita.

Hii convo inanikumbusha ubishani wa gari auto vs manual. Eventually, gari auto zimetake over hadi malori na mabasi sahizi ni auto bongo. So, I have no doubt in my mind, vipato vikiongezeka na nchi kuendelea kimiundombinu mambo ya kuchuchumaa na kushika mavi watu wataachana nayo na kipindupindu kitaisha.
 
Ulijibu mwenye hapa.

Wanatumia TP na toilet bidet hose (kibomba cha maji) hamna kushika mavi yako.

Bongo mtu anachamba kwa mkono, anashika mavi yake na bathroom hakuna hata sink la kuosha mkono ataacha vp kuumwa kipindupindu?

Umaskini sio choo tu hata miundombinu nayo inachangia. Vyoo vya kukaa vinahitaji maji mengi na usafi wa hali ya juu ambao wabongo wengi hawana hata majumbani mwao na maji bongo ni anasa sio basic need.
Unachanganya maneno!

Mara vyoo vya kuchuchumaa ni umasikini,mara hawanawi,yaani haueleweki!

Hao wazungu mnaosema wanatumia TP na maji ni wa wapi?

Hawa ambao ukiwa kwenye bus unasikia harufu ya kinyesi matakoni kwao?

Sio kila kitu tuige,vyoo vya kukaa vina wenyewe na sio sisi.

Tuheshimu tamaduni yetu,haikuwa kukaa chooni.

Eti choo cha kuchuchumaa ni umasikini,yaani nikae sehemu kila mtu anabandika matako yake hapo eti huo ni ukisasa na utajiri sio?

Kutonawa mikono ni desturi ya watu wazembe wa kufikiri sio wote hatunawi.
 
Umaskini not wewe necessarily. Kuna umaskini wa miundombinu/miundombinu duni rather ambao ni nje ya uwezo wako. Changamoto ya maji nchi maskini ni kubwa wakati mbele maji yapo kila kona.

Vyoo vya kukaa vinahitaji maji mengi na usafi wa hali ya juu ambao wabongo wengi hawana sio public bathrooms tu hata majumbani mwao.

Bongo kuosha mikono tu unaonekana unatumia maji vibaya. Hela za kununu TP hakuna. Chamba kwa toilet bidet hose (kibomba cha maji) badala ya kushika mavi kwa mkono hii yote ni anasa kwenye nchi maskini wakati mbele hadi kwenye homeless shelters ni huduma ya kawaida.

Nchi inayopewa msaada wa ujenzi wa vyoo hadi leo lazima iwaze kimaskini maskini mambo ambayo wengine washapita miaka 300 iliyopita.

Hii convo inanikumbusha ubishani wa gari auto vs manual. Eventually gari auto zimetake over hadi malori na mabasi sahizi ni auto bongo. So, I have no doubt in my mind, vipato vikiongezeka na nchi kuendelea kimiundombinu mambo ya kuchuchumaa na kushika mavi yao watu wataachana nayo na kipindupindu kitaisha.
Yaani kunya umekaa huku ukitumia TP kuhisafisha ni utajiri sio?

Mtu mnene mwenye matako makubwa anabaki na mavi matakoni alikaa pale,na akipangusa kwa TP hasafishiki kabisa.

usidanganye watu.
 
Unachanganya maneno!

Mara vyoo vya kuchuchumaa ni umasikini,mara hawanawi,yaani haueleweki!

Hao wazungu mnaosema wanatumia TP na maji ni wa wapi?

Hawa ambao ukiwa kwenye bus unasikia harufu ya kinyesi matakoni kwao?

Sio kila kitu tuige,vyoo vya kukaa vina wenyewe na sio sisi.

Tuheshimu tamaduni yetu,haikuwa kukaa chooni.

Eti choo cha kuchuchumaa ni umasikini,yaani nikae sehemu kila mtu anabandika matako yake hapo eti huo ni ukisasa na utajiri sio?

Kutonawa mikono ni desturi ya watu wazembe wa kufikiri sio wote hatunawi.

Vyoo, kama nguo, ni utamadanu wao huku vililetwa tu. Unaposema kuna vyoo ni utamaduni wetu na vingine sio sikuelewi. Mfumo wa vyoo vyote tumeletewa.

Kuna maeneo mengi sana nchini hayana vyoo kabisa achili mbali vya kukaa. Kuna kampeni ya "nyumba ni choo" hivi sasa umeisikia? Kampeni kama hizi huko West zilifanywa miaka 500 iliyopita.

Katika wabongo 100 wanaonawa mikono ni mmoja tu. I can assure you that ndo maana kipindupindu bado kimetamalaki nchini. Nikiwa bongo sishikani mikono na watu hovyo, mtu katoka kukojoa huko au kunya kachamba na mkono wake afu anakuja kukupa mkono. Smh

Mizungu inayonuka ni uchafu wao sio sababu wametumia vyoo vya kukaa. Unaweza utumie choo cha kuchuchumaa na bado ukanuka. Bongo ukiingia tu chooni unanuka ile harufu hasa vyoo vya maeneo ya watu wengi.
 
Yaani kunya umekaa huku ukitumia TP kuhisafisha ni utajiri sio?

Mtu mnene mwenye matako makubwa anabaki na mavi matakoni alikaa pale,na akipangusa kwa TP hasafishiki kabisa.

usidanganye watu.

Mtu mnene hawezi kuchuchumaa, kwao choo cha kukaa is a necessity than a luxury. Sio hao tu hata watu wazima, wagonjwa, vilema nk. Waafrika hatuna utamaduni wa kufikiria mahitaji ya watu wengine tunapenda kufanya kile tunachoona sisi tu kinatufaa ndo maana hata majengo ya umma hayana handicap accessibility.

Kutumia TP kabla ya maji is more hygiene kuliko kushika mavi kwa mkono wako. Watu ambao bado kipindupindu kinawasumbua hawawezi kuelewa hili.
 
Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.

Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.

Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.

Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Mkuu, mambo yote uliyoandika katika stadi yako kuhusu vyoo vya kukaa hayana ukweli wala uhalisia wowote.

Hilo pumbu la kukalia kwenye choo cha kukaa hadi likapasuka linakuwa limekaaje, maana unapovua kujisaidia, pumbu huning'inia kwenye uwazi na ukinyenyuka nazo zinapaa, sasa utazikaliaje?

Na kwa wanene, choo cha kukaa ndiyo huwafanya wasijibane wanapojisaidia na kujisafisha ni rahisi sana na hakuna uchafu unaoweza kubakia kama ambavyo anatumia vyoo vya kuchuchumaa!

Kifupi ni kwamba stadi hii haujaifanyia utafiti wa kutosha, sana sana umeingiza hisia na dhana zako tu.
 
Back
Top Bottom