Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

vyoo vya kukaa vinafaa katika matumizi binafsi nyumbani lakini sio katika matumizi ya uma maana binadamu ikivaa nguo anaficha mengi, wengine unakuta tackle lina ukurutu, stds,na mengine mengi ikawa tena ni njia ya watu kuambukizana yasiyofaa.
 
Sijaelewa, makende yako yako mkundn hadi uyakalie?
 
There's no award for suffer in yoruba's voice 😏 hivyo vyoo vina size, lakini pia kama unaogopa kupasuka kendy unaweza weka cha kulenga au kuchuchumaa kazi yote ya nini 🀣🀣 why can't you have a seat and enjoy your kuniya
 
Nimekuelewa boss
 
Nawaza kwa sauti wale wanaosema vyoo vya kuchuchumaa ni ushamba na uzamani basi waweke public toilet choo cha kukaa hasa masokoni, stand n.k hapa Tanzania ndio tutaelewa mzungu ni mchafu
Choo cha kukaa kinatakiwa kioshwe daily kama sahani au kikombe kwa kutumia detergent.
 
UISLAM UNASEMAJE KUHUSU HOJA HII YA MLETA MAADA?

Sunnah ya Kuchuchumaa

Mtume Muhammad (S.A.W) alifundisha kupitia matendo yake (Sunnah) umuhimu wa kuchuchumaa wakati wa kujisaidia. Katika zama zake, watu walitumia vyoo vya asili ambapo kuchuchumaa ilikuwa kawaida.

Sunnah hii inachukuliwa kama njia bora kiafya na usafi wa mwili, kwani inasaidia kumaliza haja kubwa kwa urahisi bila mabaki.



---

2. Faida za Kuchuchumaa Kiafya

Utafiti wa kisayansi umeonyesha kwamba kuchuchumaa:

1. Hurahisisha Utumbo Kazi: Kuchuchumaa kunalinganisha utumbo mkubwa na mfereji wa haja kubwa (rectum) kwenye mkao wa asili, hivyo hufanya haja kubwa itoke kwa urahisi na kuzuia matatizo kama kufunga choo (constipation).


2. Huzuia Bawasiri: Kuepuka kukaa kitako kupita kiasi kunapunguza shinikizo kwenye sehemu ya haja kubwa, hivyo kuzuia bawasiri.


3. Ni Usafi Zaidi: Katika mkao wa kuchuchumaa, kuna nafasi ndogo ya mabaki kubaki mwilini.
 
Una ushauri upi kama nataka kujenga Airbnb niweke zipi au both
 
Ile kukata gogo tis tis tis maji yanarukia matakozi hapana!! Kujisafisha kwa kuinama hapna!! Kifupi heka heka zake ni kama mtu unaloga tu vile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Boss
Hii ni study yako.
Ungetusaidia waliopasuka makende wako wapi na hao wanene wasioweza kujisafisha.
By the way siku hizi vinatoa maji unasafishwa moja kwa moja
Wee..! so hatukusi nya tena..???
 
Mi sipendi choo cha kuchuchumaaa
 
We unafikiri yanapasuka kirahisi? Mtaani tulishawahi kumkamata mwizi tukajaribu kumpasua na nyundo ila hayakupasuka
 
Aruguments za waswahili ni za kipuuzi sana. Wanaume wangapi wamepasuka kende kwa kukaa kwenye kiti?
 
Weka vya kukaa vya kuchuchuma vishapitwa na wakati ,vyoo vya kukaa vizuri mno
Ntafanya hivyo Asante
Ingawa kuna wengine unakuta hataki kukaa kwa sababu wengine wanajisaidia wima na kuchafua sehemu ya kukalia
Inatokea sana hii na nimeona vyoo vinavunjwa kwa wengine wanaokaa juu ya toilet seat kabisa kama anaendesha farasi πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚
 
Siku hizi watu wajinga na wenye mambo ya kuiga bila kujiuliza hujifanya kuwa wana exposure,wakati ni wapumbavu watupu.

Leo kusema choo cha kukaa sio salama eti ni ushamba,inahitaji akili gani kujua kile Choo si salama sana kiafya hasa kwenye jumuiya au kwa watu wanene?

Sijui kwanini watu wajinga wanajiona wajanja kisa kuiga na kujiita wana exposure.
Namna Mojawapo ya kumjua mtu mshamba na asie na exposure ni akianza kuponda vyoo vya kukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…