Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
- Thread starter
-
- #121
Lakini siku zote hakuna kisichokuwa na changamoto all in all tunaangalia kile chenye walakini.. vyoo vya kukaa hata kama ni private bado shida iko pale pale kulingana sababu kadha na kadha kama mwili hali ya mtu na kadharikaHii hoja yako si ina hoja ileee. Kwa nini usiende moja kwa moja kwenye mada ya matumizi ya maji kujisafishia.
Labda kama sijui lakini nikuulize mkuu,unadhani wote tuliochangia huu uzi hatuna uwezo wa kununua hayo mavyoo ya kukaa?Umaskini nao unachangia kuvielewa. Wazungu hawajui kabisa kama kuna vyoo vya kuchuchumaa vilipotea miaka 200 iliyopita kwao.
Huu ushauri mzuri sanaCha kukaa mkuu hakuna namna kama wateja wako kutoka mataifa ya mbele, unless kama eneo kubwa unajenga nyumba ndogo ya ziada kwa ajili ya staffs (haPo unaweka cha kuchuchumaa maana ndo tumezoea hivyo)
Wewe umejuaje siishi nao?Wewe umefika tu, sisi tunaishi nao kabisa. Hawajui.
Sio vyoo tu hawajui hata kanda za radio cassette, kupandisha kioo cha gari kwa mkono (manually) nk let alone hivyo vyoo.
TZ bado mnapewa msaada wa ujenzi wa vyoo vya shule na balozi za nje. Watz huko maporini wengi tu hawana vyoo kabisa ndo maana kipindupindu hakiishi hadi leo wakati Ulaya na Amerika cholera iliisha miaka 300 iliyopita.
Kuna mbongo alikuja na malaria kiwanja hospital aliyoenda hawakuwa na dawa specifically for malaria sababu haya magonjwa kwao ni hadithi za miaka ya kale. Ukiumwa cholera kiwanja leo hii chances are hawana dawa yake wakati bongo bado inaua watu sababu wanakula kinyesi chao.
Vyoo vya kuchuchumaa ni story za kale mbele huko, wabongo wanavipenda sababu ya umaskini bado wanataka vyoo vya shimo wasimwage maji na hawaoshi mikono, wanakula kinyesi chao wanaumwa kipindupindu wanadanja.
Kwa Airbnb vyoo vya kukaa ni vizuri mim sipendi kabisa vya shimo πππNtafanya hivyo Asante
Ingawa kuna wengine unakuta hataki kukaa kwa sababu wengine wanajisaidia wima na kuchafua sehemu ya kukalia
Inatokea sana hii na nimeona vyoo vinavunjwa kwa wengine wanaokaa juu ya toilet seat kabisa kama anaendesha farasi π π€£ π
Huo utaratibu binafsi ndio naufaham leo sikuwa naujua.Ni kucheza na kale ka-ring tu, mtu akienda kujisaidia anakashusha ili akalie kuzuia contact ya mwili na choo na akimaliza anakasimamisha pamoja na mfuniko. Changamoto inakuwa kwetu sie wanaume, unakuta mtu amejisahau hajakainua akijua kukojoa anaagizia bila kukasimamisha wakati kale kapo Kwa ajili ya kukalia tu hivyo mtu akikojoa kwa sie tunaokojoa huku tumesimama tayari unakachafua na ndio maana inatakiwa izoeleke mtu akikaa akimaliza anakanyanyua ili ataefuata ndo akishushe wakati anatumia
.All in all umuhimu wa hivi vyoo vya kukaa huwa unaonekana kukiwa na mgonjwa wa kubebwa
Wewe umejuaje siishi nao?
Nimefika nchi moja ulaya,baadhi ya majengo kuna vyoo vya kuchuchumaa,sema ni viachache sana.
Labda kama sijui lakini nikuulize mkuu,unadhani wote tuliochangia huu uzi hatuna uwezo wa kununua hayo mavyoo ya kukaa?
Kwani sink moja la choo cha kukaa approximately linauzwa million ngapi?well kama ni juu ya mill hata mimi sinunui lakini kama bei ni hizi hizi 120K to 400K huninunulishi huo uchafu maana mwisho wa siku mtumiaji hana tofauti na aliyekunya porini.
Ntafanya hivyo, AsanteKwa Airbnb vyoo vya kukaa ni vizuri mim sipendi kabisa vya shimo πππ
Unachanganya maneno!Ulijibu mwenye hapa.
Wanatumia TP na toilet bidet hose (kibomba cha maji) hamna kushika mavi yako.
Bongo mtu anachamba kwa mkono, anashika mavi yake na bathroom hakuna hata sink la kuosha mkono ataacha vp kuumwa kipindupindu?
Umaskini sio choo tu hata miundombinu nayo inachangia. Vyoo vya kukaa vinahitaji maji mengi na usafi wa hali ya juu ambao wabongo wengi hawana hata majumbani mwao na maji bongo ni anasa sio basic need.
Yaani kunya umekaa huku ukitumia TP kuhisafisha ni utajiri sio?Umaskini not wewe necessarily. Kuna umaskini wa miundombinu/miundombinu duni rather ambao ni nje ya uwezo wako. Changamoto ya maji nchi maskini ni kubwa wakati mbele maji yapo kila kona.
Vyoo vya kukaa vinahitaji maji mengi na usafi wa hali ya juu ambao wabongo wengi hawana sio public bathrooms tu hata majumbani mwao.
Bongo kuosha mikono tu unaonekana unatumia maji vibaya. Hela za kununu TP hakuna. Chamba kwa toilet bidet hose (kibomba cha maji) badala ya kushika mavi kwa mkono hii yote ni anasa kwenye nchi maskini wakati mbele hadi kwenye homeless shelters ni huduma ya kawaida.
Nchi inayopewa msaada wa ujenzi wa vyoo hadi leo lazima iwaze kimaskini maskini mambo ambayo wengine washapita miaka 300 iliyopita.
Hii convo inanikumbusha ubishani wa gari auto vs manual. Eventually gari auto zimetake over hadi malori na mabasi sahizi ni auto bongo. So, I have no doubt in my mind, vipato vikiongezeka na nchi kuendelea kimiundombinu mambo ya kuchuchumaa na kushika mavi yao watu wataachana nayo na kipindupindu kitaisha.
Unachanganya maneno!
Mara vyoo vya kuchuchumaa ni umasikini,mara hawanawi,yaani haueleweki!
Hao wazungu mnaosema wanatumia TP na maji ni wa wapi?
Hawa ambao ukiwa kwenye bus unasikia harufu ya kinyesi matakoni kwao?
Sio kila kitu tuige,vyoo vya kukaa vina wenyewe na sio sisi.
Tuheshimu tamaduni yetu,haikuwa kukaa chooni.
Eti choo cha kuchuchumaa ni umasikini,yaani nikae sehemu kila mtu anabandika matako yake hapo eti huo ni ukisasa na utajiri sio?
Kutonawa mikono ni desturi ya watu wazembe wa kufikiri sio wote hatunawi.
Yaani kunya umekaa huku ukitumia TP kuhisafisha ni utajiri sio?
Mtu mnene mwenye matako makubwa anabaki na mavi matakoni alikaa pale,na akipangusa kwa TP hasafishiki kabisa.
usidanganye watu.
Mkuu, mambo yote uliyoandika katika stadi yako kuhusu vyoo vya kukaa hayana ukweli wala uhalisia wowote.Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.
Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.
Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.
Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Walichuchumaa....Hii uongo kwa nini wazee wetu hawakupasuka