Sidhani kuwa kuna mtu ambaye amenipa majibu ya kuridhisha hadi sasa hvi,So unadai haina maana kwa currency ya nchi maskini kuwa very strong,huzijui hasara zake?Hizo ni figures tu ambazo kiuhalisia zinafanana sema tofauti ni ndogo sana kiuchumi ila purchasing power ni ile ile wala isikutishe mfano ni huu 1$=2181 na 1$ = 13.56 rand ambapo 1 Rand = 157 Tanzanian shilling hivyo ukichukua 157 Tshs x 13.56 = 2128 ambayo itakua dollar moja sasa hio ambayo dollar moja hio utaweza nunua vocha 500 au 1000, soda(take away) halafu itakua imeisha sijui unaelewa hapo
Sidhani kuwa kuna mtu ambaye amenipa majibu ya kuridhisha hadi sasa hvi,So unadai haina maana kwa currency ya nchi maskini kuwa very strong,huzijui hasara zake?
Unapotaja mifano usiweke nchi zilizoendelea,taja mifano kama Ethiopia,Kenya,Burundi n.k... swali ni kuwa kwanini currency zao ina thamani sana Kuliko Tsh?
Hawezi kuelewa aisee maana yeye amejichanganya na hizo figures wakati kiuhalisia purchasing power ni ile ile tu aiseee...Alichokujibu jamaa hapo juu ni sahihi kwa ninavyoelewa maana wewe unaona hizo hela ni ndogo kwakua zipo kwnye thamani ya hela zao lkn ukizibadiri kwa hela ya tz thamani ipo sawa,mfano hela ya Kenya $1=101.51 na tshs 1= kshs 22....sasa chukua 101.51*22=2233...sasa hiyo hela ya Kenya Ina tofauti gan na ya tz?hizo ulizoweka wewe ni figure tu lkn kiuhalisia thamani ni moja.
Asante mkuu, I wish huyo mteule apite humu, akutane na ujumbee huuUzalishaji wa ndani umekufa kabisa, Mkapa akiwa Raisi, wazalishaji wa nguo aina ya Batiki walikuwa wengi sana; sasa hivi soko lao limechukuliwa na vitenge toka Nigeria. Bakula za bati zilizokuwa zinazalishwa na viwanda vya SIDO soko lake limechukuliwa na bidhaa za plastic toka china. Bidhaa za ngozi, wazalishaji wake tuliozoea kuwaona wanakaa barazani wamefukuzwa soko lake limechukuliwa na bidhaa mfano wa ngozi toka china. Mafundi cherehani tuliowazoea kuwaona mabazani wamefukuzwa na soko lao kupewa bidhaa toka Uganda, China, India na Uturuki.
Raisi mteule akubali kupoteza mapato ya serikali yatokanayo na ushuru wa bidhaa ili makundi niliyoyataja yapewe kipaumbele katika uzalishaji
Uzalishaji wa ndani umekufa kabisa, Mkapa akiwa Raisi, wazalishaji wa nguo aina ya Batiki walikuwa wengi sana; sasa hivi soko lao limechukuliwa na vitenge toka Nigeria. Bakula za bati zilizokuwa zinazalishwa na viwanda vya SIDO soko lake limechukuliwa na bidhaa za plastic toka china. Bidhaa za ngozi, wazalishaji wake tuliozoea kuwaona wanakaa barazani wamefukuzwa soko lake limechukuliwa na bidhaa mfano wa ngozi toka china. Mafundi cherehani tuliowazoea kuwaona mabazani wamefukuzwa na soko lao kupewa bidhaa toka Uganda, China, India na Uturuki.
Raisi mteule akubali kupoteza mapato ya serikali yatokanayo na ushuru wa bidhaa ili makundi niliyoyataja yapewe kipaumbele katika uzalishaji
Sisi tuna import sana kuliko Burundi. Hivyo sisi tunaihitaji sana US$ kuliko wanavyoihitaji Burundi. Demand ikiwa kubwa with a constant or less supplies (of US$) probably the price or value of it will rise.
Burundi hawahitaji US$ zaidi kuliko sisi sababu ya factors nyingi tu. Same way to Somalia, unafikiri wao wana amani au raha za kutosha kuagiza magari ya kifahari, electronic equipments kama TV, radio au kuleta nguo kutoka China labda? Jibu ni hapana hivyo kwao wao US$ sio issue au dili sana kwao.
Hawezi kuelewa aisee maana yeye amejichanganya na hizo figures wakati kiuhalisia purchasing power ni ile ile tu aiseee...
kumbuka ni sera pia ya imf na world bank kushusha price ya fedha ili kuprovote price of export or value...... ukitaka kupromote export kwa nchi zinazoendelea unaweza shusha thamani ya fedha ili ukiexport ukiuza kwa dola unapata faida kubwa. hii pia iinafanywa ili kupunguza volume of import by making export cheaper and import expensiveKumbe haina maana sana pesa kuwa na thamani hongera sana msomi wa Tz
umbuka ni sera pia ya imf na world bank kushusha price ya fedha ili kuprovote price of export or value...... ukitaka kupromote export kwa nchi zinazoendelea unaweza shusha thamani ya fedha ili ukiexport ukiuza kwa dola unapata faida kubwa. hii pia iinafanywa ili kupunguza volume of import by making export cheaper and import expensiveWanauchumi naombeni ufafanuzi wa hili jambo.
Kwanini fedha yetu ipo hivi ukilinganisha na nchi nyingine ambazo tunazizidi kwa kila kitu,natoa mifano michache kwa kulinganisha thamani ya fedha za nchi mbalimbali kwa dollar ya Kimarekani.
1U.S $=2181.20 Tsh
1U.S $=640 Somali Shillings
1U.S $=556.50 Malawi Kwach
1U.S $=85.40Liberian Dollar
1U.S $=10.4p=Botswana Pula
1U.S $=13.62 Lesotho lot
1U.S $=446.05 Comoros Franc
1U.S $=21.11 ETB=Ethiopian Birr
1U.S $=38.60 Gambian Dalasi
1U.S $=1560.50Fbu=Burundi Franc
1U.S $=928.00 Congo Franc
1U.S $=8.03 Egyptian Pound
1U.S $=101.51Ksh
1U.S $=744.00RF=Rwanda Franc
1U.S $=3.81 Ghananian cedi
1U.S $=1.38 Libyan Dinar
1U.S $=326.50 Maurtania Ougulya
1U.S $=35.70 Mauritius Rupee
1U.S $=42.83 MT=Mozambique Metical
1U.S $=13.62 Namibian Dollar
1U.S $=198.95Nigerian Naira
1U.S $=13.56 South African Rand
Hivi hizi nchi zimefanyaje hadi fedha zao ziwe na thamani kubwa sana kuliko ya Tanzania?Wametuzidi kitu gani zaidi hadi Somalia
Kumbe somalia bidhaa zao zinatoka sana kuzidi sisi aibu sana hii
thamani ya sarafu ya nchi fulani haipimwi kwa uchache au wingi wa digits bali inapimwa kwa purchasing power ya sarafu husika ukilinganisha na nchi nyingine
Alichokujibu jamaa hapo juu ni sahihi kwa ninavyoelewa maana wewe unaona hizo hela ni ndogo kwakua zipo kwnye thamani ya hela zao lkn ukizibadiri kwa hela ya tz thamani ipo sawa,mfano hela ya Kenya $1=101.51 na tshs 1= kshs 22....sasa chukua 101.51*22=2233...sasa hiyo hela ya Kenya Ina tofauti gan na ya tz?hizo ulizoweka wewe ni figure tu lkn kiuhalisia thamani ni moja.
Hizo ni figures tu ambazo kiuhalisia zinafanana sema tofauti ni ndogo sana kiuchumi ila purchasing power ni ile ile wala isikutishe mfano ni huu 1$=2181 na 1$ = 13.56 rand ambapo 1 Rand = 157 Tanzanian shilling hivyo ukichukua 157 Tshs x 13.56 = 2128 ambayo itakua dollar moja sasa hio ambayo dollar moja hio utaweza nunua vocha 500 au 1000, soda(take away) halafu itakua imeisha sijui unaelewa hapo
thamani ya sarafu ya nchi fulani haipimwi kwa uchache au wingi wa digits bali inapimwa kwa purchasing power ya sarafu husika ukilinganisha na nchi nyingine