Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hizo ni figures tu ambazo kiuhalisia zinafanana sema tofauti ni ndogo sana kiuchumi ila purchasing power ni ile ile wala isikutishe mfano ni huu 1$=2181 na 1$ = 13.56 rand ambapo 1 Rand = 157 Tanzanian shilling hivyo ukichukua 157 Tshs x 13.56 = 2128 ambayo itakua dollar moja sasa hio ambayo dollar moja hio utaweza nunua vocha 500 au 1000, soda(take away) halafu itakua imeisha sijui unaelewa hapo