Wanauchumi na watu wa Fedha, nini sababu ya hili hapa?

Wanauchumi na watu wa Fedha, nini sababu ya hili hapa?

kuna sababu nyingi sana zA hiyo hali. baadhi yA sababu ni kama vile tunA import sana kuliko kuexport, tuna viWanda vichache sana tena ni vidogo vidogo na sio vikubwa, tuna ndugu na jamaa wachache sana wanaofanya kazi ugaibuni (developed countries) ambao hutuma hela nyumbani (remittance) ukilinganisha na nnchi kama kenya, nigeria, etc, hatufanyi kazi kwa bidii badala yake tunapenda madili na rushwa, hatupendi kununua bidhaa za nyumbani (made in tz), etc, etc. hizo ndio sababu kuu ingawa zipo na nyi ginde
 
vvća !wscc v v vv vvcvvv2!fřt G y ?gt yCbwbwvwvwv vvwwwwvw w wvvww w wwb bvbb b wbwvw2vvwwwvvb vvrbvvb2 vbwbw b bwwv b 2bb ww wvwv wv vwvrb😡!

Mmmmmh!😃😃😀😀😂😂
 
kuna sababu nyingi sana zA hiyo hali. baadhi yA sababu ni kama vile tunA import sana kuliko kuexport, tuna viWanda vichache sana tena ni vidogo vidogo na sio vikubwa, tuna ndugu na jamaa wachache sana wanaofanya kazi ugaibuni (developed countries) ambao hutuma hela nyumbani (remittance) ukilinganisha na nnchi kama kenya, nigeria, etc, hatufanyi kazi kwa bidii badala yake tunapenda madili na rushwa, hatupendi kununua bidhaa za nyumbani (made in tz), etc, etc. hizo ndio sababu kuu ingawa zipo na nyi ginde

Tuna viwanda vichache kuliko Somalia, Malawi na Comoro?
Getteaatahere!
 
Kumbuken, kuna wakat dolla 1=1000, unataka niambia ilikua pungyfu wakat huo? Hebu toeni majibu ya kurudhisha
Mbona wewe unaonekana hauelewi ilivyokua 1 dollar equals to 1000 tshs maana yake ilikua ukichukua kwa mfano Rand moja na kuibadilisha kua hela ya tanzania halafu ukaizidisha kwa hio rand unapata either 960 - 999 kwaio inakua pale pale tu around 1000 tshs maana 2004 1 dollar ilikua ni Rand 7 kwaio ni kitu kile kile tu sema hauwezi kuelewa kijana...daah vijana wa siku hizi wanasikitisha sana.....
 
Sisi tuna import sana kuliko Burundi. Hivyo sisi tunaihitaji sana US$ kuliko wanavyoihitaji Burundi. Demand ikiwa kubwa with a constant or less supplies (of US$) probably the price or value of it will rise.

Burundi hawahitaji US$ zaidi kuliko sisi sababu ya factors nyingi tu. Same way to Somalia, unafikiri wao wana amani au raha za kutosha kuagiza magari ya kifahari, electronic equipments kama TV, radio au kuleta nguo kutoka China labda? Jibu ni hapana hivyo kwao wao US$ sio issue au dili sana kwao.

Huu 👆👆👆ndo ukweli. Unajitosheleza sn. Kula 👊👊👊
 
Kumbuken, kuna wakat dolla 1=1000, unataka niambia ilikua pungyfu wakat huo? Hebu toeni majibu ya kurudhisha

Ina maana Puchasing Power ya Tas ilikuwa 1Us$ kwa kipindi hicho. Kwa lugha nyingine, kitu kilichonunuliwa Tas 1000 kipindi hicho, kwa Sasa kinanunuliwa kwa 1Us$ in Tas kwa rate ya sasa. Japo haitakuwa Exactly .... Other Things Remain Constant
 
Tuna viwanda vichache kuliko Somalia, Malawi na Comoro?
Getteaatahere!

Ukitulia, utaona Kuna jibu la kuwa, ndg na jamaa zetu walioko nje ya nchi hawatumi Us$ kwetu sisi kwa wingi wetu kwa kiwango kinachofanywa na wasomali, wamalawi na wacomoro wanaoishi ughaibuni.
Factors zipo nyingi sn kulingana na Hali ya nchi kiuchumi, viwanda, amani, etc
 
Labda anaeathirika ni muajiliwa kwa sababu kama mtu analipwa mshahara tsh 600000 ni sawa na dola 300 tofaut na mtu anyefanya kaz souz analipwa rand 6000 is about dola 500 so waathika ni waajitiwa kimtazamo tuuu
 
Ukitulia, utaona Kuna jibu la kuwa, ndg na jamaa zetu walioko nje ya nchi hawatumi Us$ kwetu sisi kwa wingi wetu kwa kiwango kinachofanywa na wasomali, wamalawi na wacomoro wanaoishi ughaibuni.
Factors zipo nyingi sn kulingana na Hali ya nchi kiuchumi, viwanda, amani, etc

Tusiilazimishe sababu.Tanzania inaweza kununua magari, mashine N.K kwa kutumia Euro, Tanzania imefloat Eurobond mwaka Jana au juzi.
Euro imeanguka karibu 100% against $ na Kama tunazungumzia remmitances, Vietnam imezidi top 10 African countries combined na hela yao ina thamani ndogo against USD.Sababu unazokazania wewe ni negative. Huangalii construction,exploration na watu binafsi kuhodhi dola, kupungua kwa bei ya dhahabu etc...
 
Unaelewa nini Ninaposema sababu ziko nyingi ndg yangu Kobello? Kwangu mimi naelewa kuwa sababu sio hizo pekee zilizotajwa na mimi, wewe na wengine. Na mengine ni Tafsiri yako, siwezi kukuzuia
 
thamani ya fedha ya nchi kwa kulinganishwa na nyingune inaakisi ununuzi na uuzwaji wa bidhaa nje wa nchi hizo husika ie. ubora wa chumi zao lakini kuna mambo mengine ya ziada kama ushindani wa soko mf. thamani ya fedha ya china ipo chini kwa kuwa anataka soko nje,
siasa: mf thamani ya mitikashi ya msumbiji ipojuu kuliko uhalisia wa uchumi.
umafia wa kimataifa; thamani ya fedha ya tiger countries zipo chini kwa kuhujumiwa na wa magharibi...

sababu zinakuwa nyingi kupita maelezo mafupi yanayoonekana haraka kwani Magufuli akishindwa kukusanya kodi akaenda kukopa wb watamuambia ashushe thamani ya madafu.....
 
Hawezi kuelewa aisee maana yeye amejichanganya na hizo figures wakati kiuhalisia purchasing power ni ile ile tu aiseee...

Ni Kweli Mkuu.
Nadhani Njia Nzuri ya Kulinganisha Thamani za Salafu za Nchi Mbalimbali ni Kutumia Pachasing Power Parity (PPP) na sio kuangalia Figure.
 
Back
Top Bottom