kuna sababu nyingi sana zA hiyo hali. baadhi yA sababu ni kama vile tunA import sana kuliko kuexport, tuna viWanda vichache sana tena ni vidogo vidogo na sio vikubwa, tuna ndugu na jamaa wachache sana wanaofanya kazi ugaibuni (developed countries) ambao hutuma hela nyumbani (remittance) ukilinganisha na nnchi kama kenya, nigeria, etc, hatufanyi kazi kwa bidii badala yake tunapenda madili na rushwa, hatupendi kununua bidhaa za nyumbani (made in tz), etc, etc. hizo ndio sababu kuu ingawa zipo na nyi ginde