vvća !wscc v v vv vvcvvv2!fřt G y ?gt yCbwbwvwvwv vvwwwwvw w wvvww w wwb bvbb b wbwvw2vvwwwvvb vvrbvvb2 vbwbw b bwwv b 2bb ww wvwv wv vwvrb😡!
kuna sababu nyingi sana zA hiyo hali. baadhi yA sababu ni kama vile tunA import sana kuliko kuexport, tuna viWanda vichache sana tena ni vidogo vidogo na sio vikubwa, tuna ndugu na jamaa wachache sana wanaofanya kazi ugaibuni (developed countries) ambao hutuma hela nyumbani (remittance) ukilinganisha na nnchi kama kenya, nigeria, etc, hatufanyi kazi kwa bidii badala yake tunapenda madili na rushwa, hatupendi kununua bidhaa za nyumbani (made in tz), etc, etc. hizo ndio sababu kuu ingawa zipo na nyi ginde
Mbona wewe unaonekana hauelewi ilivyokua 1 dollar equals to 1000 tshs maana yake ilikua ukichukua kwa mfano Rand moja na kuibadilisha kua hela ya tanzania halafu ukaizidisha kwa hio rand unapata either 960 - 999 kwaio inakua pale pale tu around 1000 tshs maana 2004 1 dollar ilikua ni Rand 7 kwaio ni kitu kile kile tu sema hauwezi kuelewa kijana...daah vijana wa siku hizi wanasikitisha sana.....Kumbuken, kuna wakat dolla 1=1000, unataka niambia ilikua pungyfu wakat huo? Hebu toeni majibu ya kurudhisha
Sisi tuna import sana kuliko Burundi. Hivyo sisi tunaihitaji sana US$ kuliko wanavyoihitaji Burundi. Demand ikiwa kubwa with a constant or less supplies (of US$) probably the price or value of it will rise.
Burundi hawahitaji US$ zaidi kuliko sisi sababu ya factors nyingi tu. Same way to Somalia, unafikiri wao wana amani au raha za kutosha kuagiza magari ya kifahari, electronic equipments kama TV, radio au kuleta nguo kutoka China labda? Jibu ni hapana hivyo kwao wao US$ sio issue au dili sana kwao.
Duh...safi mkuu....maana hiyo kitu(figures) sikuisoma kipindi nasoma uchumi....duh au sikuelewa hahaha.....sasa ni balance sheet tu.
Kumbe haina maana sana pesa kuwa na thamani hongera sana msomi wa Tz
Kumbuken, kuna wakat dolla 1=1000, unataka niambia ilikua pungyfu wakat huo? Hebu toeni majibu ya kurudhisha
Tuna viwanda vichache kuliko Somalia, Malawi na Comoro?
Getteaatahere!
Ukitulia, utaona Kuna jibu la kuwa, ndg na jamaa zetu walioko nje ya nchi hawatumi Us$ kwetu sisi kwa wingi wetu kwa kiwango kinachofanywa na wasomali, wamalawi na wacomoro wanaoishi ughaibuni.
Factors zipo nyingi sn kulingana na Hali ya nchi kiuchumi, viwanda, amani, etc
Tusiilazimishe sababu.Tanzania inaweza kununua magari, mashine N.K kwa kutumia Euro, Tanzania imefloat Eurobond mwaka Jana au juzi.
Euro imeanguka karibu 100% against $ na Kama tunazungumzia remmitances, Vietnam imezidi top 10 African countries combined na hela yao ina thamani ndogo against USD.Sababu unazokazania wewe ni negative. Huangalii construction,exploration na watu binafsi kuhodhi dola, kupungua kwa bei ya dhahabu etc...
Hawezi kuelewa aisee maana yeye amejichanganya na hizo figures wakati kiuhalisia purchasing power ni ile ile tu aiseee...