Njia ni nyingi..
1. Asubuhi piga neutral, msosi wa mchana ule mida ya saa 7 kuelekea 8 hivi,kula msosi wako wa buku jero, kisha endelea na mishe zako, saa 2 hivi mihogo yako ya buku na juice ya jero, asubuhi hii hapa, unaiokota kizeembe.
2. Au la jitahidi asubuhi kifungua kinywa ukigonge kati ya saa 5-6 hivi muda ambao mama ntilie wamejikatia tamaa wateja wa chai we ndio unajisogeza.
Mbagala buku 3 unakula asubuhi, mchana na jioni.