Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua anakuja kuona ninapo ishi asha nichuna sanaa leo ndo nimejua wanawake ni nyokaHahahah ndo ungeshachukua na chumba cha hotel hasara kwako
Yeah, psychological torture!Mmmh! Hapo lazima niogope hilo ni bomu umenitegea
HahahaUsiogope kunitumia nauli sitakula nimeshakuwa mkubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha akikwepa zotee wewe mpetipeti jipendekeze akikuamini tu unampiga bonge la bomuuu
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Nimemuona nilitaka aje hapo kwako naomba tuendelee na part 2
Psychological torture ni mbaya sanaYeah, psychological torture!
Wakati mimi naumia kuchoma mahindi, wewe utakua unajiuliza what is he up to?
Sounds fair!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kwani na wewe hua unakula nauli alafu hutokei?Psychological torture ni mbaya sana
Sikutaki hata bure
Hahhh...nimetembea sanaa!, pale oxford lodge merriwa ndo lilikua chimbo letu!.
Demiss nini lakini... Mbavu zangu mie[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akikubana sana haribu hata tv makusudi
Kama ni movie kwenye hilo basi mimi ndo muhusika mkuuu.Kwani na wewe hua unakula nauli alafu hutokei?