Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Nilikuwa na kidate na sista du mmoja, tukakutana mlimani city, tukaongea na kunywa vinywaji baridi, wakati wa kuagana akaniambia nimpe nauli yake aliyotumia kukutana na mimi....that was too low.

... mwanamke wa hivyo tukishapeana kisogo ndio kwaheri.
 
Hahahaaha
 
Mimi kuna mmoja aliniambia tuma nauli nije...hata simjui..nikamwambia natuma...alihangaika huyo acha.
 
Weka hapa namba yako ya simu nikutumie nauli utakapoacha kuja gheto ndio nije hapa jukwaani kukomenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…