Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Hahahahahahaaa mm bado cjakutana na upigaji wa namna hii.
 
Na wewe utiririke ulivyopewa mimba afu boy akaingia mitini,,ukaamua ufanye utapeli wa nauli ili upate hela ukatoe mimba......duh! wanume tuna dhambiπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…