Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Huwa nikiipata naruka ruka mpaka juu aiseee hapo kama wanne wote wamekutumia upo na rafiki yako akipiga sm anawasha sm huku anasema shwaaaaaaaah priiiii anahisi upo kwenye gari
Hahahaha kweli wewe acha kunivunja mbavu zangu. Eti shwaaaaaaaahhh priiiiiiiiii,
 
Hongeraa sana siku ukikutana naye jiandae kisaikolojia
Siwezi kukutana na wanawake wa aina hiyo kwa sababu.

1. Viwanja vyao na vyangu tofauti
2. Ikitokea kwa bahati mbaya tumekutana, najua kuusoma mchezo kiasi kwamba nawakimbia hata kabla hawajapata nafasi ya kusalimiana na mimi vizuri.
3. Ikiwa wamepata nafasi ya kusalimiana na mimi naomba udhuru na kujikata kisilesi. Sitaki ujinga.

Mwanamke wa kuomba nauli, hususan hata hamjajuana vizuri, tutaongea naye nini?

Mimi ni mtu wa kumnunulia mwanamke anayefaa BMW na Benz, mwanamke wa kuomba nauli naona ananishushia hadhi yangu.
 
Hahahaha kweli wewe acha kunivunja mbavu zangu. Eti shwaaaaaaaahhh priiiiiiiiii,
Kama upo karibu na redio au tv unawasha kabisa ile chanel yenye chenga chenga yale makelele anajua unagombania daladala za mbagala
 
Hahahah hujakutana na kina Chausiku wewe? MATAPELI WA KIWANGO CHA JUU
 
Kuna kidada chuoni kilikuwa hodar kula nauli za watu,sas kuna jamaa alishampiga nauli alichofanya yule jamaaa wala hakuweka mashaka yeyote akaendelea tu kumtumia vivocha huku mrembo aki enjoy vya kutosha.

Zaid ya miez3 jamaa hajakata tamaa mwisho wa siku yule demu akajua huyu jmaaa kweli amedata ngoja tu nikampe mambo,kwakuwa chuo kilikuwa Tanga na ndipo demu alipo .Jamaa kamwambia panda bus njooo dodoma nauli nitalipa kumbe yule jamaa hayupo hata dodoma yupo zake dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…