Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha ntakuambia uje na taxi ntalipa huku hukuHahaha nauli ni tamu unaweza kula mpaka ya yule ambaye ni mme wa bahati
Hahahaha kweli wewe acha kunivunja mbavu zangu. Eti shwaaaaaaaahhh priiiiiiiiii,Huwa nikiipata naruka ruka mpaka juu aiseee hapo kama wanne wote wamekutumia upo na rafiki yako akipiga sm anawasha sm huku anasema shwaaaaaaaah priiiii anahisi upo kwenye gari
Kukudadadeki bila huruma Demiss sio vizuri hivyo za mwizi arobaini wanasemaga wao[emoji23]Tena huwa natoa bila hata kuangalia imebaki sh ngapi?
Siwezi kukutana na wanawake wa aina hiyo kwa sababu.Hongeraa sana siku ukikutana naye jiandae kisaikolojia
Elimu juuu ya elimu hahaha we kibokoAkituma tiketi unamwambia konda auze mgawane nusuu hakuna hasara
Sijui wakoje wanajifanyaga wanajua kumbe kwa wanawake F kabisaHahahaha na ukila nauli yake wala hamshtui mwenzieee
Hahahah hujakutana na kina Chausiku wewe? MATAPELI WA KIWANGO CHA JUUSiwezi kukutana na wanawake wa aina hiyo kwa sababu.
1. Viwanja vyao na vyangu tofauti
2. Ikitokea kwa bahati mbaya tumekutana, najua kuusoma mchezo kiasi kwamba nawakimbia hata kabla hawajapata nafasi ya kusalimiana na mimi vizuri.
3. Ikiwa wamepata nafasi ya kusalimiana na mimi naomba udhuru na kujikata kisilesi. Sitaki ujinga.
Mwanamke wa kuomba nauli, hususan hata hamjajuana vizuri, tutaongea naye nini?
Mimi ni mtu wa kumnunulia mwanamke anayefaa BMW na Benz, mwanamke wa kuomba nauli naona ananishushia hadhi yangu.
[emoji23] hatareeeeeKiboko ya uchafu na madoa nisingekuwa na kazi nahisi ningekuwa tapeli au jambazi