[emoji23] [emoji23] [emoji23] yna4 umeua tatizo wanajileta wenyewe... Mnigeria wa watu[emoji16] [emoji16] enzi cha ujana wa Chuo nilikula sana pesa za watu jamani...kina likaka linigeria nililipataga mtandaoni uko alikua msumbufu kinyama..nikamwambia usipate shida tuma nauli nakuja Nigeria.. Ila nikawa naogopa balaa..siwajua nguvu za marafiki mnigeria akatuma dollar ...alipiga simu messenger hadi alikoma
#POOVUU MKUUKuna mpuuzi mmoja alikuja akanipangia masharti ya kumla wakati nishamtumia hela ya shopping!.. Kumtimua kwangu Mbwa yure nikajifanya kumuwahi niwapigie customer care waizuie wakanambia washaizuia nikarelax!. Kupita masaa 24 hela haijarudi nawapigia customer care wananambia kulikuwa na matatizo kwenye mtandao haikuzuiwa na mbwa imeshaitoa hela!.
Nasemaje wewe Ik*$%% na hao customer care wa @#%% wote mbwaaaa!!..
Siku hiyo ngekubaka tu nijue moja!.. hela umekula mzigo ukanipangia masharti!..
Yaishie uzi huu huu hayo mambo!.[emoji115]
Hahahahaha pole weeeeKuna mpuuzi mmoja alikuja akanipangia masharti ya kumla wakati nishamtumia hela ya shopping!.. Kumtimua kwangu Mbwa yure nikajifanya kumuwahi niwapigie customer care waizuie wakanambia washaizuia nikarelax!. Kupita masaa 24 hela haijarudi nawapigia customer care wananambia kulikuwa na matatizo kwenye mtandao haikuzuiwa na mbwa imeshaitoa hela!.
Nasemaje wewe Ik*$%% na hao customer care wa @#%% wote mbwaaaa!!..
Siku hiyo ngekubaka tu nijue moja!.. hela umekula mzigo ukanipangia masharti!..
Yaishie uzi huu huu hayo mambo!.[emoji115]
Yani si la nchii hii#POOVUU MKUU
atakuwa alituma nauli ya dreamlinerYani si la nchii hii
Kweli lakini pesa usiyoitafuta wewe tamu balaa kwenye matumizi...mnigeria kajileta na $200 nikaenda kuchange ile siku ilikua ni ya shopping mwanzo mwisho kinondoni ilitukoma ahsante kwa mnigeria[emoji23] [emoji23] [emoji23] yna4 umeua tatizo wanajileta wenyewe... Mnigeria wa watu
Kama kuwalia hakuna idadi nimewalia sana alafu kama Demiss alivyosema hela zao hata huwa haziumi roho unatumia unavyotaka.... Ndomana Wanaume wanaongoza kwa kujinyonga kwa hali hiii
Itakuwa sio kwa povu lileatakuwa alituma nauli ya dreamliner
Makofi kwake huko aliko[emoji122] [emoji122]Kweli lakini pesa usiyoitafuta wewe tamu balaa kwenye matumizi...mnigeria kajileta na $200 nikaenda kuchange ile siku ilikua ni ya shopping mwanzo mwisho kinondoni ilitukoma ahsante kwa mnigeria
[emoji16] [emoji16] ...ila lilikua jinga sanaMakofi kwake huko aliko[emoji122] [emoji122]
Wa kiwango cha lami[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujinga wake ndio faida kwetu[emoji16] [emoji16] ...ila lilikua jinga sana
[emoji16] [emoji16] [emoji16] acha tuWa kiwango cha lami[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujinga wake ndio faida kwetu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mmh miaka yote ya chuo niliwahi kupiga mzinga mara moja tu, siku moja nilikuwa hoi bin taabani nna sh 1000 nimefuja pocket money yooote nikajiuliza naombaje tena hela home? nikatumia uongo mtakatifu kwa jamaa niliachana nae kipindi hiko hiko kupata hela. Uongo ambao sio wa kunisubiri walaaa, Ee Mungu nisamehe ulikuwa ujinga tu. Nikapata hela kibao kesho yake
..
Mibaba ya badoo yenye uchu inaliwa sana aisee