Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yna4 umeua tatizo wanajileta wenyewe... Mnigeria wa watu[emoji16] [emoji16] enzi cha ujana wa Chuo nilikula sana pesa za watu jamani...kina likaka linigeria nililipataga mtandaoni uko alikua msumbufu kinyama..nikamwambia usipate shida tuma nauli nakuja Nigeria.. Ila nikawa naogopa balaa..siwajua nguvu za marafiki mnigeria akatuma dollar ...alipiga simu messenger hadi alikoma
Kama kuwalia hakuna idadi nimewalia sana alafu kama Demiss alivyosema hela zao hata huwa haziumi roho unatumia unavyotaka.... Ndomana Wanaume wanaongoza kwa kujinyonga kwa hali hiii