Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Kaa ukijua hela ya mwanaume hailiwi kiurahisi hivi. Popote Kokote Itajulikana.
 
Alafu haikomiii full kuliwa nauli
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kuna moja lililiwa mchana kweupe...kin'gan'ganizi tuonane nakutumia nauli..sawa tuma akatuma laki1 ya tax nilivyoipata nikazima simu..jinga sana lile
 
Hahahah maajabu ujue kuna moja nipo Msata n
akatuma nauli akuuuu nikamwambia napanda daladala mpaka Makumbusho njia nzima namchatisha vituo vyote kwa sms ile navizia huu muda Nakaribia makumbusho nikazima simu chapuuu hela nimeshatoa kitambo ili asishtuke kutoa
 
Ushimen, nimekutumia nauli uje kwangu lakini umenipotezea.... Nirudishie pesa yangu kabla sijakuendea Pemba [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Hahahah maajabu ujue kuna moja nipo Msata n
akatuma nauli akuuuu nikamwambia napanda daladala mpaka Makumbusho njia nzima namchatisha vituo vyote kwa sms ile navizia huu muda Nakaribia makumbusho nikazima simu chapuuu hela nimeshatoa kitambo ili asishtuke kutoa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] naona alikutafuta hadi alidata
 
Tena ni waJf namkaribisha sana hapa Msata
20180731_170431.jpg
 
KUMTUMIA HELA MWANAMKE AMBAYE SINA UHAKIKA NAE SAWA SAWA NA KUCHEZA BIKO... na mimi SICHEZI BIKO ever...... nakufata na GARI nakupeleka sehemu ISIYOJULIKANA kama hutaki baki KWENU.
 
Back
Top Bottom