Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

unaanzaje kumtumia mtu nauli kizembe?,chukua usafiri nitalipa ukifika,kama unatoka mkoani lipa nitakurefund ukifika,kama huna basi baki hukohuko usije.
 
Mi kuna demu alikula nauli afu hakuja....sikuona tabu....nilichomfanya hatosahau
 
unaanzaje kumtumia mtu nauli kizembe?,chukua usafiri nitalipa ukifika,kama unatoka mkoani lipa nitakurefund ukifika,kama huna basi baki hukohuko usije.
Hahahahaah
 
Back
Top Bottom