Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa ya kwako mpya
Hahahahaha muda wa kazi huu acha kupost pumbaClara alikula hela yangu nikatengeneza deal siku nilivyokwenda Moro, nikamnasa tukampiga mtungo watu 8 back and front, tukamwacha akiwa hoi na vimiminika vyeupe vikichuruzika. Over
hahahahahaha. umetisha sana mkuu hiyolazima airudisheHivi We Nyanfuru unajua hiyo hela niliyokutumia kama nauli nilivimba nikaacha kupeleka marejesho ya Saccos ili nikutumie wewe afu umejifanya mjanja umeingia mitini..!
Kwa taarifa yako nina mganga wangu wa kutoka Msata anaitwa mshana Jr kwa gharama ndogo nikimpa tu anakutandika fusho linaitwa "surhati zubaa" unazubaa miaka saba..! Yaani hautafuti mume wala hela!
Pona pona yako irudishe nauli yangu kwenye namba hii 0787278929993999393 haraka. Nasubiri!
Hahahaha unatumia mbinu gani hapo kwenye DaladalaUneza kuta demise ni msela flan anatumia picha za sista yake.......jf sitafuti demu kabisa mi tutakutana kwenye daladala huchomoki
Hahahaha umeriwa wewe hiyo uipati tena aisee hila ushajifunzahahahahahaha. umetisha sana mkuu hiyolazima airudishe
Aliwezaje kukwambia kama kaliwa maana hapo kinachofuata ni kuwa siri yake ili asionekane boyahaya mambo mnayachukulia mzaha ila mie iliniuma sana anko wangu ni njagu mdg wake kafukuzwa shule ajamaliza ada anko katuma laki na nusu nauli toka bukoba hadi tabora
demu hakutokea, nilimdharau anko sana
PoleeeeHaaaa haaaaa namm nilishawahi liwa buku 30 hivi hivii
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app