Wanaume, achani kutembea na liabilities

Wanaume, achani kutembea na liabilities

1.Mwanamke anayewaza kutumia tu na siyo kuongeza ela

2.Mwanamke asiyependa kupika nyumbani yy kula migahawani na hotelin tu

3.Mwanamke ambaye ukiamua kutoka naye siku anawaalika na marafiki zake[emoji53] etc
 
Hawa viumbe wa ajabu sana unamtumia muamala leo kesho tuchat anakuambia hana sms,ukimuuliza si nimekutumia hela jana anajibu yaan mimi kutoa hela kununua vocha siwez kwahy sisi ndiyo hela zetu hazina kazi
 
[emoji23][emoji23]"Wanaume tumeumbwa Matesooooooo[emoji442][emoji443][emoji444][emoji444]
 
Hawa viumbe wa ajabu sana unamtumia muamala leo kesho tuchat anakuambia hana sms,ukimuuliza si nimekutumia hela jana anajibu yaan mimi kutoa hela kununua vocha siwez kwahy sisi ndiyo hela zetu hazina kazi
Umenikumbusha kuna siku nimefulia nina 10k tu mfukoni wife NAE anadai inabidi tuigawane nipate nauli ya kwenda mizunguko, bahati alikuwa na elfu5 akanipa so nikamwachia yeye 10k , sehemu ninako enda nauli elf4 ajabu ananitumia sms nitumie vocha ya 2000 , asee ile sms nilivyoona kila nikiandika sms nafuta ,mwisho nikakaa kimya
 
1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda.

2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA vya kunoga Kwa ajili yake wakati wake.

3. Mtu ambaye hawezi kukupigia simu hata kwa dakika 5 mkaongea ye kazi yake kuku beep tu, kulalamika na kuomba bundle na muda wa maongezi hio ni liability.

4. baadhi ya Wanaume wanatoka na Mademu wanaofikiri mapenzi ni kazi au biashara ambayo anatakiwa kulipwa. Jamani Sex sio faida kwa wanaume tu tulivyo malofa anaweza kukubania hata sex yenyewe na bado unamchuku huyo ni liability.

5. Acha kuchumbiana na mademu hovyo hata awe mrembo kiasi gani. Urembo ni bonasi, zingatia Madini yake!
Kaa na mwanamke ambaye anaweza kuongeza kitu cha maana kwenye maisha yako.
Mambo kama vile: miradi ya kifedha, akili ya kihisia, mambo ya kiroho.

6. Mchumbie mtu ambaye ana uwezo wa kutoa chochote alichonacho na unachompa, roho yako itakuwa na amani!
Sio demu ambaye atakuwa anapokea tu.

7. Hatusemi lazima awe tajiri.
Lakini mwache awe na jambo la kufanya hata liwe kidogo kiasi gani, maana hata upate pesa kiasi gani, lazima aweze kukusaidia nyakati za wewe kufulia.

Wengine mkiona tu demu ana mzigo nyuma mpo tayari kuuza kila kitu mlichonacho ili tu kum GO unaweza kumpa 100K leo atasema "asante" lakini kesho ukimpigia simu ukimwambia akutembelee atasema " tuma pesa za usafiri"huyo ni liability.

Aisee nawaombea sana vijana wenzangu wa KUBALI NDOA mpate mwanamke kichwa si wengine jamani badobado kwanza.
Sure
 
Hapana tulikubaliana kwamba kwenye ngono mwanamke ndiye anayepata hasara zaidi sababu anatumika na anayechakaa ni yeye na viungo vyake na siyo ninyi, hivyo mnatakiwa muwalipe fidia kwa kuwapotezea muda na kuwachakaza maana ninyi hamna cha kupoteza kwahiyo si mbaya mkipoteza pesa zenu ili iwe win win situation, halafu hadi leo hii bado mnaamini mwanamke akisema hana nauli basi ni kweli hana na ana njaa hebu jiongezeni siku hizi wanawake hawana njaa kiasi hicho ni hampendwi tu
 
Binti wa samia tumekusikia.
 
Back
Top Bottom