Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Unaoshea anus na kusafirishia uchafu uliopeleka huko.Hayo maji nikienda nayo nitayafanyia nini?
Huruhusiwi kunywa maji toilet
Sijui huwa wanafikiria nini yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kweli hawabebagi maji...nafikiri watajirekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una kichaa wewe, hivi hujui mkojo una harufu?Sasa mkojo ni kama maji tubebe na maji[emoji44]
Kwa hili mtatusamehe tu maana hata akili inagoma kabisa ati mkojo na maji[emoji28][emoji28]
Kitaeleweka tu.
Kwa tundu linalotoa mkojoKwa tundu gani sasa best mpaka nibebe mkopo wa maji
Jr[emoji769]