KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Napinga na nakemea kwa ukali hili nalishikia kidedea HATUTA NA HAITA,HAIWEZEKANI WANAUME TWENDE CHOONI NA MAJI KISA MKOJO!Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
#HATUPANGIWI.