Wanaume acheni huu uchafu

Wanaume acheni huu uchafu

Mkojo upi unaozungumzia hapa Khantwe? Mkojo huu huu ambao ni mkojo au mkojo mkojo? 😜

Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
 
Hao pia wapo?

wapo,nimewahi kuishi jirani na jamaa wa hivo[emoji23],akawa anaacha tunasafisha hatumwambii,kuna siku nikawa na mgeni kwangu akaungia bafuni akakuta hali si hali[emoji1787].afu mgeni wa kike
 
[emoji16][emoji16] unasafishaje uchafu wa mtu aisee mimi siwezi, kuna siku nilikuwa nafua uchafu wa mtoto ile nimeenda chooni kumwaga nikaunganisha na kutapika...
 
Kinyaa chako si cha dunia hii Khantwe, lakini uchafu unaudhi sana na wengine wala huwa hawajali kabisa kwamba kuna wenzangu pia tunatumia pamoja.

pole sana[emoji28],sisi wanaume tumeshaona kila aina ya kinyaa,so huwa hatutapiki
 
Kinyaa chako si cha dunia hii Khantwe, lakini uchafu unaudhi sana na wengine wala huwa hawajali kabisa kwamba kuna wenzangu pia tunatumia pamoja.
Yaani acha tu, mtu mwingine anamwaga maji uchafu utoke pale juu kwenye sink tu ukichungulia kwa ndani hivi unaona kitu kinaelea
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Baby nitakuhamisha huko uhamie kaself kako, watakuambukiza UTI bure[emoji8][emoji8]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]amekimbizwa hospitali baada ya kuzimia kutokana na harufu ya mikojo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Back
Top Bottom