Wanaume acheni huu uchafu

Wanaume acheni huu uchafu

Kwahiyo vizuri kwenda na mjikopo au ndoo😲
SIWEZI WALAHI..!
Hawa jirani nilionao wana visa utakuta wamekuandikia mlangoni kwako "jirani pole kwa kuhara"
Kumbe we unaenda kukojoa tu na vile wengine kila mara kukojoa utafikiri tunakomoa si ndo watajua huyu kala popo😅
Khaa hao majirani nuksi😀, basi nenda na ndoo ya maji kama unaona kopo jau, ili wajue unaenda kuoga kumbe short call tu.
 
~ Mimi nawekaga maji mdomoni nikienda chooni nikimaliza kukojoa, nakojoa tena kwa mdomo!!!
 
Kama maji ni kwa ajili ya kumwaga chooni baada ya Haja ndogo (nakubaliana nawewe)

kabla sijasoma yote nilishaandaa comment moja hiyo,nilijua eti tunawe chululuu zetu baada ya kujojoa.
 
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Madam, unashea choo na baa au?
 
Mwanaume hawezi kubaki na uchafu wa mkojo Kama atakojoa mpaka mwisho. Sasa maji anaenda kuosha nn kwa mfano wakati mkojo ukisha kata hamna kinacho toka? Au mnataka tuoshe mapumbu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom