Wanaume acheni huu uchafu

Wanaume acheni huu uchafu

Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Pole sana, ndio maana nikakuambia ,nikulockdown forever.

Hiyo sio tabia, kwa kuzingatia wengine wa Magono..ma UTI ......

Wanaume wabebe maji
 
mtu anachukua kopo lile la kuchotea maji analiweka chini sakafuni anaenda zake halafu akija mwingine kopo lilelile alilochukua chini anatumbukiza kwenye ndoo ya maji halafu maji hayo ndio nije nitumie kujiswafi? Hapana kwa kweli

Hapo UTI nje nje , pole !!!kwa hali hiyo kama inawezekana tafuta nyumba yenye watu wachache, wastaarabu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengine wanaoga hawasafishi unakuta mapovu mapovu na wanaume wanavyojua kuoga kama wanajitikisa mapofu yanajaa mpaka ukutani.
Mwingine hajanyoa mavuzi akayaacha
-Ukiuliza nini mwanaume [emoji849] uanaume ni pamoja na kujiongeza!!!!
Tunaoishi nyumba za kushare kwakweli tuna tabu sana ndio mana hata korona najua itanifikia hapa hapa hata nikijiweka lockdown kwa mtindo huu
 
Nitawajuaje? Nitauliza kama wanaume wa hii nyumba huwa wanamwaga maji wakijisaidia haja ndogo?? Bahati mbaya nyumba zote ninazokaa hali huwa hivihivi
 
Hahaha tunaokaa nyumba za kupanga korona nje nje
 
Nitawajuaje? Nitauliza kama wanaume wa hii nyumba huwa wanamwaga maji wakijisaidia haja ndogo?? Bahati mbaya nyumba zote ninazokaa hali huwa hivihivi
Kama walivyo wenye nyumba , huwa wanampa dalali masharti ya mpangaji wanayemtaka , na wewe mpe dalali wako masharti ya nyumba unayaotaka kupanga .

Wakati napanga nilikataa kabisa kukaa kwenye vyumba vya ndani, mi nilitaka vya nje tu , na mara zote nilipata nyumba za hivo ,

Mwananyamala koma koma ndo ilikuwa kiboko!!! Bimkubwa mwenye nyumba alikuwa hataki mpangaji mwanamke , masela tulikuwa tunaruhusiwa kuingiza mizigo lakini sio kukaanaye au kuoa , ilikwa nyumba nzuri sana ila utata wa Luku ndo ulikuja kunifanya niondoke kwenda kupanga chumba cha giza,

Hilo unalolisemea ni gumu sana kulijua kabla hujaingia kwenye nyumba. Halafu mambo yanaweza kubadilika ukiwa ndani....mfano wakati naingia katika hii nyumba kulikuwa na mwanaume mmoja tu lakini sasa hivi wako watatu
 
Kweli hapo pagumu , ningekuwa mi ndio weye , kuliko kuikarahisha nafsi yangu , ningehama .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom