Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kwa hiyo pale mlikuwa mnaenda wapi? Hall 3 au 4?
Hall 4 na COET.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo pale mlikuwa mnaenda wapi? Hall 3 au 4?
Huo ni ubinafsi, kwa sababu mtu hachuchumai basi atuachie mikojo yake? Lakini wapo wanaume wanaomwaga majiNaona hapa kuna kutwanga maji kwenye kinu..ukirudi kwenye uhalisia ni ngumu mwanaume kwenda na maji wakati wa kukojoa tu. ..ni ngumu (mbishe,mkubali) wao wanajua kwenda kutoa dushelele zao wakojoe wasepe, maji atabeba kama anaenda kupuu au kuoga.
Tukirudi kwa nyie mnaotaja taja UTI,inaonesha na nyie kiwango cha usafi wenu hakijavuka 90+% na pia hamnywi maji ya kutosha.
Mwanadamu ukinywa maji ya kutosha na ukiwa perfect enough kwenye suala la usafi UTI utaisikia kwenye bomba tu.
Humu ndani sote tunaishi nyumba zenye maji mpaka chooni isipokuwa wewe, so hili bango lako bora ukabandike kwenye hicho choo mnachoshea.
Nimemshanga Sana huyu jamaa, kuwa mwanaume hakutufanyi tuwe wachafu, jali mazingira yako kwa usalama wako na wengine!!Yaani kuambiwa habari ya usafi unasema unapangiwa masharti? We wa wapi ndugu yangu?
Daaah, afu mtu mzima kabisa anakataa ushauri mzuri kabisa, Hawa si wanaume Bali wavulanaHuku kwetu kuna changamoto sana kaka
Halafu mkikutana wanalazimisha kusalimiana mkononi
Sasa hilo nalo ni la kusema mkuu mbona unataka kunifanya niwe mwalimh wa chekechea au wanaume akili zenu ndio zipo hivyo? Hivi inawezekana kukawa na mfumo wa maji chooni na mtu akabeba maji kutoka nje?Una point lakini umefanya jumuishi mno.
Nadhani ungesema kwa wale wanaoishi kwenye nyumba ambazo hazina maji vyooni wabebe maji. Na siyo wanaume tu, tunashudia wanawake wengine wakitinga bila maji. Ukiona wanabeba ujue wako ktk "nyakati". Ila wahusika ujumbe umewafikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu alikua RoryHuyu ni nani kwani?
Hahaha mkuu ni kweli na huu ndio ustaarabu ila kwa huku uswahilini jambo hili ni gumu kidogo. Kwanza choo chenyewe unaingia upande upande hiyo nafasi ya kuweka jaba itatoka wapi? Pili watu sio wastaarabu mtu anaenda huko msalani akikuta maji yamejaa kwenye ndoo full kujiachia anaoga huko huko. Mimi binafsi siwezi kutumia maji yanayokaa huko huko chooni kwa sababu ustaarabu ni sifuri, mtu anachukua kopo lile la kuchotea maji analiweka chini sakafuni anaenda zake halafu akija mwingine kopo lilelile alilochukua chini anatumbukiza kwenye ndoo ya maji halafu maji hayo ndio nije nitumie kujiswafi? Hapana kwa kweliJapokuwa mtoa mada unaweza kuwa upo sahihi , ila nyumba mnayokaa nayo usataarabu umepita kushoto, iliitakiwa yoo vyenu viwe na access ya maji huko huko ndani, ili.mtu akijisaidia ayatumie akiwa huko.
Wakati nakaa nyumba za kushare vyoo, tulikuwa na utaratibu wa mwenye zamu ya usafi ni lazima ahakikihshe anajaza maji kwenye Jaba la chooni. Hilo lingefanyika naamini usingekuja na uzi huu hapa.
Wekeni utaratibu huo , naamini hutajisiskia vizuri siku mkweo akija kukutembalea halafu akalazimika kukuomba maji ili aende msalani.
Sent using Jamii Forums mobile app