Wanaume acheni huu uchafu

Wanaume acheni huu uchafu

Ombi lako tumelifikiria sana ilà kwa kauli moja tumekataa, hatukubali wala hatuoni sababu za kubeba makopo ya maji. [emoji23][emoji23]
 
Haina haha ya maji bhana...unalenga tu kwenye tundu mchezo kwisha
 
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema

print hii kitu ukabandike chap mlangoni mwa msalaani usiku wa manane, utakuwa umetatua tatizo kuliko kupachika hapa huenda ujumbe huu usimfikie huyo bwana handsome mpangaji mwezi.
 
Hey ..hey. hey!!!.. stop right there sio wanaume wote......wengine kunakua na kila kitu hukohuko.......
 
Nakumbuka wakati tunasoma chuo kuna muda ilikuwa tunavizia usiku wa saa saba ndo tunaenda washrooms za wadada.

Maana za kiume hali ilikuwa si hali.
[emoji23][emoji23][emoji23] mnaona sasa mambo yenu? Mnaenda kwa wadada mnakojoa mnaacha mikojo yenu inanuka
 
UDSM hall 2 na hall 5 enzi hizo, sijui kama sasa hivi kuko okay.

Kama Mungu alituepusha magonjwa kwa vyoo vile, hata hii corona itapita tu.
Kwa hiyo pale mlikuwa mnaenda wapi? Hall 3 au 4?
 
ulivosema asilimia kubwa upo sahihi, hua nakereka sana na hiyo tabia mijitu mingine huenda mbali na kufikia kukojoa pembeni ya tundu la choo
Hahaha ni shida hawa wanaume wetu
 
wife akitaka kujua kama nimeonja,huwa anaenda toilet

na hapo utamsikia mafumbo yake 'nyie watoto nani ametoka huku chooni.?' hapo najua nimemwaga maji kidogo na bado smell IPO

*ila mkojo una harufu kali

wa mwingine unavyonikera nadhani na wangu huenda ukawa zaidi..ukute mkojo mixers vodka,energy,alikasusuسيلص,kahawa,ugoro,soda...hata nzi hatui.!!

*huwa namwaga maji ya kutosha;mkojo hauna siri
Bora wewe unajiheshimu boss
 
Back
Top Bottom