Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Acha ukorofi
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Hao pia wapo?
Wapi nimesema wote?Nashukuru umesema asilimia kubwa ya wanaume, kwamba sio wote.
Sasa inakuaje kichwa cha habari kiseme wote?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16] unasafishaje uchafu wa mtu aisee mimi siwezi, kuna siku nilikuwa nafua uchafu wa mtoto ile nimeenda chooni kumwaga nikaunganisha na kutapika...wapo,nimewahi kuishi jirani na jamaa wa hivo[emoji23],akawa anaacha tunasafisha hatumwambii,kuna siku nikawa na mgeni kwangu akaungia bafuni akakuta hali si hali[emoji1787].afu mgeni wa kike
[emoji16][emoji16] unasafishaje uchafu wa mtu aisee mimi siwezi, kuna siku nilikuwa nafua uchafu wa mtoto ile nimeenda chooni kumwaga nikaunganisha na kutapika...
[emoji16][emoji16] unasafishaje uchafu wa mtu aisee mimi siwezi, kuna siku nilikuwa nafua uchafu wa mtoto ile nimeenda chooni kumwaga nikaunganisha na kutapika...
Yaani acha tu, mtu mwingine anamwaga maji uchafu utoke pale juu kwenye sink tu ukichungulia kwa ndani hivi unaona kitu kinaeleaKinyaa chako si cha dunia hii Khantwe, lakini uchafu unaudhi sana na wengine wala huwa hawajali kabisa kwamba kuna wenzangu pia tunatumia pamoja.
Baby nitakuhamisha huko uhamie kaself kako, watakuambukiza UTI bure[emoji8][emoji8]Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Unikumbushe asubuhi tukatafute nyumba pamoja huniiFanya hivyo jamani nitakufa mwenzio
Karibu sanaSawa beiby
Fanya hivyo jamani nitakufa mwenzio
Aa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]amekimbizwa hospitali baada ya kuzimia kutokana na harufu ya mikojo.