Wanaume acheni huu uchafu

Word kwa kweli nahisi hata UTI tunatoa kwao muda mwingine

Usikutane na mtu ambar hajajisaidia haja ndogo muda mrefu, au mlevi hajasafisha utajuta
UTI unapataje kwa namna hii??

✓UTI unapata wewe mwenyewe kwa kushindwa kujisafisha vizuri baada ya haja kubwa..inabidi iwe front back na sio back front

✓UTI utapata kwa kutumia/kushika kitu kilichoshikwa na kuacha chembechembe za haja na wewe kwenda kushika sehemu zako
 
Sisi ni walengaji wazuri tu..

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Sawa daktari
Kuna sababu zaidi ya 10 visababishi UTI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…