binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Wanawake ndo mmekosa maadili ndo maana mnaishia kubakwa na kufanyia mambo ya ajabu.
As a christian woman who wears baibui/dashdash sometimes , i can atest to this.. kuna almost equal number of being hitted by men, kama tu ukivaa kawaida, kama tu ukivaa shorts, Tofauti ni makundi ya wanaume, kila mtu na kundi lake anachagua mwanamke aliyevaa kwa anavyopenda yeye. Kama unaelewa nachozungumza ni kwamba: Mavazi hayamkingi mwanamke kutoka kwa predators. Ndio maana kuna kundi lingine la watoto wa kike/kiume na wazee wanaobakwa, kule kwa taliban wanabakwa, vitani wanabakwa (wanawake wamekonda na kupauka bado wanabakwa)Mwanamke anayejiheshimu hata wanaume huona haya kumwendea.. Ni nyie ndo mmekosa tabia nzuri, mnavaa nguo za uxhi mnategemea kuleta picha gani kwa jamii?
What? You are a proof that human beings will argue about everything.Na wewe fikiria dysfunction kwa bigger picture... Inaanzia kwenu wanawake... Msio na heshima kwa waume zenu...
Unampa trauma mwanaume anaenda kubaka mtoto mdogo.
Yaani nyie huwa hamjui ya kuwa nyie ndo nurturing gender?
Umeshawahi kusikia msemo unasema mwanamke akisoma jamii imesoma? Mzizi wa fitna na mbomoko unaanza kwenu nyie wanawake wabishi wabishi mlio tumia elimu zenu kuuza ego uchwara..
Nyie ndo mnaosababisha jamii iteseke.
Mkuu, sijahalalisha ubakaji kwa sababu ya mavazi, ukiangalia sentensi yangu nimeandika “Kuna muda” nilimaanisha hii pia inaweza kuwa ni sababu moja wapo katika sababu nyingi.Kama nini? kua mwanamke kamuita mwanaume njoo unibake?
Hivi nikuulize swali mbona jamii za wazungu wanavaa vichupi na vibikini ila hawabakani? ushajiuliza hilo swali?
Mimi nipo huku kanda ya ziwa ripoti za matukio ya ubakaji zinatishaa hawa wamama na vibinti wanavaa magauni na masketi marefu na bado wanabakwa,
Acha kuhalalisha ubakaji, haijalishi mwanamke kavaaje, kakaaje, mwili ni wake haimpi haki mtu mwingine kumuingilia bila ridhaa yake, ijue haki yako binti.
Nilimpiga mtu na simu kichwani akapasuka mchuzi huo hapo🤦🏽♀️Safi kabisa, please share your story ilikuaje kuaje
Alikuletea mapenzi ya kwenye isidingoNilimpiga mtu na simu kichwani akapasuka mchuzi huo hapo🤦🏽♀️
Kwa sababu alinishika nilipogeuka nyuma akaanz akunitusi kwa kunidhalilisha😒
Nilimkata kitako cha cm😊Alikuletea mapenzi ya kwenye isidingo
Kwanini ulipelekwa kituoni?Usinikumbushe mimi nilipelekwa kituoni🤦🏽♀️
Lakini kama ilivyo mtu kumshika mwenzio pasina ruhusa yake ni udhalilishaji pia inategemea ni maeneo gani umeshikwaNilimkata kitako cha cm😊
Kelebu moja tu 👋🏼Kwanini ulipelekwa kituoni?
Alinigusa kwa nyumaLakini kama ilivyo mtu kumshika mwenzio pasina ruhusa yake ni udhalilishaji pia inategemea ni maeneo gani umeshikwa
Mzee acha kuleta habari za vichaa hata mbwa hawezi kwenda kubaka nguruweUpo sahii kwa maelezo yako.,what about wanaobaka wanyama??..Kuna watu wakiona mbuzi tu gari linawaka,tatizo inakua nini pale?tako la mbuzi,upaja au manyonyo??..
Alikunawa auKelebu moja tu 👋🏼
Acha kukimbia biological evidence kwa kuangalia scenario zenye ukakasi..Asiye na maadili ni yupi? Aliyebaka au mwanamke anayefanya mambo ya ajabu au wote? So why you called out a woman huyu mwingine ukam-reserve… what does this tell about you.?
As a christian woman who wears baibui/dashdash sometimes , i can atest to this.. kuna almost equal number of being hitted by men, kama tu ukivaa kawaida, kama tu ukivaa shorts, Tofauti ni makundi ya wanaume, kila mtu na kundi lake anachagua mwanamke aliyevaa kwa anavyopenda yeye. Kama unaelewa nachozungumza ni kwamba: Mavazi hayamkingi mwanamke kutoka kwa predators. Ndio maana kuna kundi lingine la watoto wa kike/kiume na wazee wanaobakwa, kule kwa taliban wanabakwa, vitani wanabakwa (wanawake wamekonda na kupauka bado wanabakwa)
Kutumia mavazi kujustify vitendo vya udhalilishaji ni kuchagua njia rahisi ya kutokea, sheria kwa kulijua hilo haijaweka hii excuse.
Rudi kwenye mada.
Haha eti nakubwenga 😂
Dr. We ni mzanzibar au wa mtwara?
Ndani ya mada: Wanawake/wamama tunakosea katika malezi ya watoto wa kiume, Familia na jamii haijawahi kum-reward mtoto wa kiume kwa tabia njema, ila akifanya malice ndio utasikia huu ndio uanaume.
Sitegemei matokeo tofauti ya yale yote yaliyofanyika katika makuzi.
NB: katika kundi hili kuna watu wamejielea wenyewe, wamejilea mtaani.
Btw, kuitwa feminist katika dunia ya sasa ni kitu bora zaidi kuliko kuwa pickmisha (internalize misogynists)
Ukioma unabakwa kwa sababu ya kuvaa nguo fupi fahamu yafuatayo.Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,
Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,
Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?
Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,
Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,
Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ambaye huna mahusiano nae?,
Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,
Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,
Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Huu ndo ujinga ambao si ukubaliWhat? You are a proof that human beings will argue about everything.
😂😂😂😂
Hii mada ni rahisi mno, sikutegemea any illogical argument. It’s just a black and white haihitaji hizi tantalila unazoleta.
Tunazungumzia rape kama immorality na kama crime.
Sikuungi mkono,mavazi ya wanawake yasio ya heshima ni chanzo cha kudhalilishwa kwao,ingawa sisemi mara zote ni mavazi kuwa ni chanzo,nimeshakutana na hili jambo,mwanamke mtu mzima tena sio kwa bahati mbaya,amekaa chini kapanua miguu chupi inaoneka barabarani,na akaniangalia akacheka kuashiria kuwa anajua anacho kifanya,huyu naye unafikiri akitokea mwanaume akimparamia utasema kadhalilishwa...Asiye na maadili ni yupi? Aliyebaka au mwanamke anayefanya mambo ya ajabu au wote? So why you called out a woman huyu mwingine ukam-reserve… what does this tell about you.?
As a christian woman who wears baibui/dashdash sometimes , i can atest to this.. kuna almost equal number of being hitted by men, kama tu ukivaa kawaida, kama tu ukivaa shorts, Tofauti ni makundi ya wanaume, kila mtu na kundi lake anachagua mwanamke aliyevaa kwa anavyopenda yeye. Kama unaelewa nachozungumza ni kwamba: Mavazi hayamkingi mwanamke kutoka kwa predators. Ndio maana kuna kundi lingine la watoto wa kike/kiume na wazee wanaobakwa, kule kwa taliban wanabakwa, vitani wanabakwa (wanawake wamekonda na kupauka bado wanabakwa)
Kutumia mavazi kujustify vitendo vya udhalilishaji ni kuchagua njia rahisi ya kutokea, sheria kwa kulijua hilo haijaweka hii excuse.
Rudi kwenye mada.