Leo nimepokea kesi toka kwa kidume uchwara mmoja analalamika kuwa anamhudumia msichana kwa kila kitu (kodi ya pango, mavazi, chakula, na mahitaji mengine) lkn huyu kijana hajawahi kupewa papuchi kaambiwa mpk watakapofunga ndoa.
Kilichomtisha huyu kidume mpka kuja kwangu leo ni kwamba ni mwaka wa 3 sasa tangu waanze mahusiano. Lkn kila akiomba kupeleka barua ya posa msichana anapiga danadana, mara ooh sijajipanga kuishi namume, mara kuna mambo yangu sijayakamilisha, n.k
Sasa juzi juzi dada kampa kali zaidi huyu kidume kwa kumwambia kuwa hivi sasa hana hata wazo la kuolewa. Anamsihi kidume asubiri siku feelings za kuolewa zikimjia (msichana), basi kidume ataambiwa apeleke barua.
Sasa enyi wanaume nawauliza kosa ni la nani hapa? Siyo ukilaza wa mwanaume??
Yaani kidume anahudumia kila kitu miaka 3 lkn papuchi hapewi na barua anakataliwa kupeleka na hasituki tu?? Hivi mnajielewa kweli?
Siku nyingine msije kunitaka ushauri kwa jambo la kizembe kama hili
Sexless kungwi la kitaa.