juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Bih You Look Like A Fried Sausage...Kichaga kwanza
Yes..!Poa T kumbe tukitongozwa tuahukuru eeh
Mwanamke Nlowah Kwend Pm Yake Apa Ni Mmoja Tu And We Good FuckFriends (If You Know What I Mean) Labda Ww Uwe Wapili.Mkuu ulikwenda pm nini!! Mbona kama umepagawa hivi!!
Wachaga walikukosea nini!!
Jifunze kujitegemea. Ombaomba nayo Ina Karaha. Book!! Unakuwa so cheap!! Hata Kama huna jifanye unazo siku Ukipiga mzinga mkubwa. Wadada jifunzeni kuwatoa out maraffiki zenu Wa kiume. Sio kufyonza tuuuuuOh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Dah,, siamin macho yangu[emoji24][emoji32][emoji24]Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
hy mchungeni sana ndugu zangu.. Mm naondokaMzee pm ya huyo mtoto haujawahi kuingia?
Ila wenzenu wa ulaya walishatoka huko. Wako so independent. Kila kitu 50/50. Kama Kweli mko serious. Ila sasa kinyume mkianza na kupiga mizinga inatoa impression tofauti!!Fanya kama diffusion
SAS utaolewaje bila kutongozwa mkuuAnakwambia pm sms then anakutongoza
Eeh Mungu asante kwa yule alikuja pm yangu[emoji85]Yes..!
Ukiona mtu amekuja pm anakupiga sound shukuru Mungu..
Wewe huoni wengine wanaweka matangazo kule LC kila siku kuwa mwenye sifa hizo aje PM
Baby ndio maana nakupendagakazi kweli kweli mambo ya pm yanabaki pm jaman muombane elf 10 au laki
umepewa haujapewa ni ww na mtu wako wa pm hayatuhusu
Sawa shemeji, nilitaka tutafute sehemu ambayo ninaweza kufanya mbwembwe za kukulisha shemeji, sasa kwenye watu naona
[emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540] kama kweli huyo unae mtongoza ni shemeji yako Shetani akutangulie