Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Stacia nilikumiss [emoji8] [emoji8] [emoji8]Kama vimeundwa hizo 10,000 za matengenezo au?????
Wengine madume wenzenu.Nyie wenyewe wazingua, mie kuna mmoja kanipa namba nikamwambia tukutane private, akasema first time ngumu nikala bati, siku moja akanipim etu nimtoe pesa ya chai hasubui elfu kumi na mie nikamwambia sasa hatujuani nakupaje pesa kama jini je? akanuna na mawasiliano akakata, mie ushauri wangu acheni kuomba pesa kama mtu kakufuata private msg msikilize anasema nini?
Bora wewe mkweli.nakuja tuyajengeOh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Hahahhy mchungeni sana ndugu zangu.. Mm naondoka
Duuuh!! Sio kwa kichambo hicho jamani.Mwanamke Nlowah Kwend Pm Yake Apa Ni Mmoja Tu And We Good FuckFriends (If You Know What I Mean) Labda Ww Uwe Wapili.
Na Kuwa That Cheap Alafu Anakuja Kuleta Fyoko Hapa Ndo Ninapochoka Zaidi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Duuuh!! Sio kwa kichambo hicho jamani.
Hizo elfu kumi si mumpe tu kwani mtapungukiwa nini, maana hata hana gharama.
Ni utoto sijui ulimbukeni, sasa wote wangeanza fungua thread za pm wanazopokea si pasingetosha humu, bora mie sijawahi kupata pm, sijui gundu[emoji134] [emoji134] [emoji134]Daah! Pole mkuu..
Ila hizi mambo za pm mtu angeziacha huko huko pm tuu..
Tatizo la pm ni kwamba mtu anakuja pm yuko na expectation milion..
Sasa akikuta mambo yako tofauti lazima aje kulalamika..
Nasikia ni wanaume wenzenu hao, maana hainiingii akilini kuwa mwanamke anaweza fanya hivyo.Na Kuwa That Cheap Alafu Anakuja Kuleta Fyoko Hapa Ndo Ninapochoka Zaidi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Eti Unamuomba Mwanamme 10k Kisa Kakupm. Wakenya Wanajisemea 10 Thaooooo!!
Nawaona nawaona...Eeh Mungu asante kwa yule alikuja pm yangu[emoji85]
Kweli Usikute Ni Lijames Delicious Hahaha. Maana Mwanaume Kuweka Profile Ya Kike Ni Tatizo.Nasikia ni wanaume wenzenu hao, maana hainiingii akilini kuwa mwanamke anaweza fanya hivyo.
Maybe anataka pesa ya bando ili muendelee kuchat.
Umefunga pm ama?Ni utoto sijui ulimbukeni, sasa wote wangeanza fungua thread za pm wanazopokea si pasingetosha humu, bora mie sijawahi kupata pm, sijui gundu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sasa mkuu alikuoa bila kukutongoza?Nishaolewa na mmewangu yupo
hahahha bora kufunga tu tuje kuombana hadharaniBora kufunga pm tuu..ee ? [emoji23][emoji23]
kakosea sana lkn sio kwa povu lile ulilomtoleaWhy Shunie. Pole Kama Umekwazika. Mtu Anakaa KutuGeneralize Wanaume Wote Hatuna 10k!!
huyu kama mwanaume ujue unamwambiaje mtu akutoe elf 10 au anawaomba wanawakeDah,, siamin macho yangu[emoji24][emoji32][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama huyu mleta mada hivi unamuelewa kweliWengine madume wenzenu.