Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Kumbe mkizama ndinda huwa mnalipia ada ya maongezi [emoji38][emoji38][emoji38]

Hii ndiyo kiboko yao, baada ya salamu tu waambieni watume 10k ndiyo story ziendelee, itasaidia kupunguza idadi ya PM.
 
Nyie wenyewe wazingua, mie kuna mmoja kanipa namba nikamwambia tukutane private, akasema first time ngumu nikala bati, siku moja akanipim etu nimtoe pesa ya chai hasubui elfu kumi na mie nikamwambia sasa hatujuani nakupaje pesa kama jini je? akanuna na mawasiliano akakata, mie ushauri wangu acheni kuomba pesa kama mtu kakufuata private msg msikilize anasema nini?
Wengine madume wenzenu.
 
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Bora wewe mkweli.nakuja tuyajenge
 
Mwanamke Nlowah Kwend Pm Yake Apa Ni Mmoja Tu And We Good FuckFriends (If You Know What I Mean) Labda Ww Uwe Wapili.
Duuuh!! Sio kwa kichambo hicho jamani.
Hizo elfu kumi si mumpe tu kwani mtapungukiwa nini, maana hata hana gharama.
 
Duuuh!! Sio kwa kichambo hicho jamani.
Hizo elfu kumi si mumpe tu kwani mtapungukiwa nini, maana hata hana gharama.
Na Kuwa That Cheap Alafu Anakuja Kuleta Fyoko Hapa Ndo Ninapochoka Zaidi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Eti Unamuomba Mwanamme 10k Kisa Kakupm. Wakenya Wanajisemea 10 Thaooooo!!
 
Daah! Pole mkuu..

Ila hizi mambo za pm mtu angeziacha huko huko pm tuu..

Tatizo la pm ni kwamba mtu anakuja pm yuko na expectation milion..

Sasa akikuta mambo yako tofauti lazima aje kulalamika..
Ni utoto sijui ulimbukeni, sasa wote wangeanza fungua thread za pm wanazopokea si pasingetosha humu, bora mie sijawahi kupata pm, sijui gundu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Na Kuwa That Cheap Alafu Anakuja Kuleta Fyoko Hapa Ndo Ninapochoka Zaidi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Eti Unamuomba Mwanamme 10k Kisa Kakupm. Wakenya Wanajisemea 10 Thaooooo!!
Nasikia ni wanaume wenzenu hao, maana hainiingii akilini kuwa mwanamke anaweza fanya hivyo.
Maybe anataka pesa ya bando ili muendelee kuchat.
 
Nasikia ni wanaume wenzenu hao, maana hainiingii akilini kuwa mwanamke anaweza fanya hivyo.
Maybe anataka pesa ya bando ili muendelee kuchat.
Kweli Usikute Ni Lijames Delicious Hahaha. Maana Mwanaume Kuweka Profile Ya Kike Ni Tatizo.
 
Ni utoto sijui ulimbukeni, sasa wote wangeanza fungua thread za pm wanazopokea si pasingetosha humu, bora mie sijawahi kupata pm, sijui gundu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Umefunga pm ama?
 
Back
Top Bottom