Kuna thread yake inaonyesha yeye ni mwanaume, mara hapa tena ni mwanamke. Kuna wanaume ndio zao hizo utaombwa hela ila ukimuomba muonane hakubali.Kweli Usikute Ni Lijames Delicious Hahaha. Maana Mwanaume Kuweka Profile Ya Kike Ni Tatizo.
Na ww jiongeze hamjakutana unaomba hela..Naye anitongoza kwn me mke wake
Kwahyo ww unajiuzia meeda au corner bar?Nenda buguruni wa jero yupo
Sasa mbona huyo umemuekea dau kubwa akati kuna mwingne alikua anatoa had buku5 [emoji23] [emoji23] [emoji23] ninamashak naww isije ikawa ndo wale wapindixha nondo kwa kichwa mana unaonekn kauzuAlikuwa ananitoa la ten au five
I appreciate[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama huyu mleta mada hivi unamuelewa kweli
[emoji15]Eeh Mungu asante kwa yule alikuja pm yangu[emoji85]
Hee mi cjawah mwomb mtu ela.. Nliomb tu wasichana waniPM kwa lolot tyuhuyu kama mwanaume ujue unamwambiaje mtu akutoe elf 10 au anawaomba wanawake
Hee mi cjawah mwomb mtu ela.. Nliomb tu wasichana waniPM kwa lolot tyuhuyu kama mwanaume ujue unamwambiaje mtu akutoe elf 10 au anawaomba wanawake
mmh eb soma vizur nilichoandikaHee mi cjawah mwomb mtu ela.. Nliomb tu wasichana waniPM kwa lolot tyu
Najua ndio maana siku hiz sipendagi ujinga lazima nikuchek na video call nione kama goma linalipa au lina mabaka mabakaWengine madume wenzenu.
Hupendi kutongozwa??????Anakwambia pm sms then anakutongoza
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7]Stacia nilikumiss [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji474][emoji474][emoji474][emoji474][emoji474]Hey baby where have you been?