Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Hii thread ako cjaipndaa,,,maaan ucdhani kila anaekufata pm leng lake nikukutongoza,,,,acha fikra potovu wew,,,lin lakin watanzania tutabadilika????
 
Labda msa....ji.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Labda.

Hebu tuachane naye tujadili mambo yetu, vipi siku ya wafanyakazi utakuwa wapi, nataka tutoke lunch na dina kabisa.
 
Duuuh! kama Mwenyekiti wama Domo zenge nchi nawasii wanachama wangu waliangaliie hili swala kwa taadhari kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…