Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hivi kumbe hata jinsia yake ni tata!! Hebu nipm nikuombe hela.Nipo shemeji, naendelea kujiuliza jinsia ya mleta mada nakwama.
Kama umeshaijua nisaidie tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe hata jinsia yake ni tata!! Hebu nipm nikuombe hela.Nipo shemeji, naendelea kujiuliza jinsia ya mleta mada nakwama.
Kama umeshaijua nisaidie tu.
Ukinipm tu nakuomba hela.Teh sis [emoji12]
Hii thread ako cjaipndaa,,,maaan ucdhani kila anaekufata pm leng lake nikukutongoza,,,,acha fikra potovu wew,,,lin lakin watanzania tutabadilika????Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Hivi kumbe hata jinsia yake ni tata!! Hebu nipm nikuombe hela.
Sikujii [emoji16][emoji16]Ukinipm tu nakuomba hela.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16]
Mimi siogopagi vizinga bwana labda yale ma b57 ya huyu jamaa
![]()
Labda msa....ji.Kwenye hiyo thread niliyoweka link amesema akiwa na Happy anajihisi tatizo limeisha, ila baadae anakuwa bado na tatizo hilo.
Nifanyeje kupunguza hamu ya ngono?
Labda msa....ji.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Na usije kweli, siku ukijiroga tu ujue imekula kwako.Sikujii [emoji16][emoji16]
Nitakuwa utakapohitaji niwe shemeji.Labda.
Hebu tuachane naye tujadili mambo yetu, vipi siku ya wafanyakazi utakuwa wapi, nataka tutoke lunch na dina kabisa.
Unakutana na vifaru tu.Sijawai kukutana na kizinga pm
Eti kuombwa ufahari mmh..Ujue kuombwa pesa ni ufahari, mtoage tu jamani mtabarikiwa.
Tunjitahidigi kuwapa kadri tunavyoweza kwa kweliNa usije kweli, siku ukijiroga tu ujue imekula kwako.
Na mtoe tu maana hamna namna.Eti kuombwa ufahari mmh..
Tunjitahidigi kuwapa kadri tunavyoweza kwa kweli
Kwa wifi eeeh?Na mtoe tu maana hamna namna.
Nitakuwa utakapohitaji niwe shemeji.