Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Wahanga wa pm.lazima watapinga hii hoja.
Ngoja waje tuone watakavyotiririka
 
Halafu sijui tabia yako ya kutokunipa like utaacha lini....ukiniona gonga like nijue umepita hata kama ni pumba
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwani sijatoa? Itakuwa ushaambukizwa uzee.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Daby ulienda pm kwa nani ukatimuliwa na kizinga cha elfu 10?
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Daby ulienda pm kwa nani ukatimuliwa na kizinga cha elfu 10?
[emoji16][emoji16]
Mimi siogopagi vizinga bwana labda yale ma b57 ya huyu jamaa
c2cdb788e4209303796223cb7c25c819.jpg
 
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Naomba nikuPM ntakupa hela unayotaka.
 
Back
Top Bottom