Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Mmh sikujua PM nayo ni uduma..Mama hakuna option ya ku send to all pm kwa forum yote..ili nasi tupate pm zako tukutoe
 
Kwenye hiyo thread niliyoweka link amesema akiwa na Happy anajihisi tatizo limeisha, ila baadae anakuwa bado na tatizo hilo.

Nifanyeje kupunguza hamu ya ngono?
Screenshot_2017-04-27-17-30-20.jpg
 
Unaemuonba hela ni baba yako au unajiuza.... Kila mtu atumie zake..
[HASHTAG]#nahonga[/HASHTAG] mke wangu tuu...
 
Back
Top Bottom