Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Jifunze kujitegemea. Ombaomba nayo Ina Karaha. Book!! Unakuwa so cheap!! Hata Kama huna jifanye unazo siku Ukipiga mzinga mkubwa. Wadada jifunzeni kuwatoa out maraffiki zenu Wa kiume. Sio kufyonza tuuuuu
 
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Dah,, siamin macho yangu[emoji24][emoji32][emoji24]
 
Jifunze kujitegemea. Ombaomba nayo Ina Karaha. Book!! Unakuwa so cheap!! Hata Kama huna jifanye unazo siku Ukipiga mzinga mkubwa. Wadada jifunzeni kuwatoa out maraffiki zenu Wa kiume. Sio kufyonza tuuuuu
Fanya kama diffusion
 
Fanya kama diffusion
Ila wenzenu wa ulaya walishatoka huko. Wako so independent. Kila kitu 50/50. Kama Kweli mko serious. Ila sasa kinyume mkianza na kupiga mizinga inatoa impression tofauti!!
 
Sura ngumu kama sungu sungu wa Tegeta, halafu unaomba hela[emoji15] [emoji90]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sawa shemeji, nilitaka tutafute sehemu ambayo ninaweza kufanya mbwembwe za kukulisha shemeji, sasa kwenye watu naona

[emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540] kama kweli huyo unae mtongoza ni shemeji yako Shetani akutangulie
 
Back
Top Bottom