Feminist wamechangia sanaa kuharibu ndoa za watu.Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Kazi wanazofanya wake ni majukumu yao kama mke na mama kama ambavyo ilivyo majukumu kwa mume kuhakikisha familia inapata mahitaji muhimu.Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Wapi imeandikwa kufua, kupika ni jukumu la mke!?Kazi wanazofanya wake ni majukumu yao kama mke na mama kama ambavyo ilivyo majukumu kwa mume kuhakikisha familia inapata mahitaji muhimu.
Si hisani ni majukumu hayo. Kuhusu kutukanwa mtaa mzima, huyo mmeo atakuwa ana mdomo sana lakini pia huenda nawe una shida kwa kudhani majukumu yako ni hisani.
Pipa na funiko vimekutana
Wanawake wanao lalamika kupikishwa na kifanya usafi ujue sio wazuri 🤣🤣🤣🤣Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Hata hiyo kuosha kesho Bado nimekupendelea sanaa, kuosha vyombo sio jukumu langu , tafuta mtumishi aosheKwa uzi huu najaribu kukuchora hapo lazima umeweka kucha za kubandika ndefu, unavaa wigi, unapaka makeup kama vumbi, ukipika leo mchana sufuria la ukoko unaosha kesho kwanini usisemwe mtaa mzima? Maana ukisemwa peke yako hubadiliki
Yaani mtu umesema ngoja basi tusogeze maisha Bado anakunanga , na Hela Hana😂Wanawake wanao lalamika kupikishwa na kifanya usafi ujue sio wazuri 🤣🤣🤣🤣
Wazuri wanaolewa na wanaume wenye hela ndani kuna maids watatu mke yeye ni shopping na kuliwa mbususu
Nilikosea mkuu😀Swali gani!??
Kama hayo ndiyo maswali yako, basi pia hakuna sehemu ambayo imeandikwa kuwa hawezi kukutukana mtaa mzimaWapi imeandikwa kufua, kupika ni jukumu la mke!?
Wee kwa nini uolewe na mwanaume hana hela ?Yaani mtu umesema ngoja basi tusogeze maisha Bado anakunanga , na Hela Hana😂