Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Tulia dawa ikuingie. Mwanamke ukitaka kuishi vizuri bila kutumikishwa hakikisha umeenda shule na unajiweza kiuchumi. Kitendo cha kumyegemea mtu mwingine ndio ule tayari ni utumwa nilazima ufanye anavyotaka yeye iwe nikizuri au kibaya. Hapa unaweza kubisha?
Sasa kwenda shule kunaondoa Nini katika tabia ya mtu ya kashfa!?. Ukiweka msaidizi kwa pesa zako , atakukashfu tu hujui kupika, kwanini anapikiwa na msaidizi. Tabia ni kama ngozi ya mwili vigumu kuibadili
 
Na mimi nikuulize unajua maana ya majukumu ya mke kwenye familia?
Shida ufeminist umewapumbaza. Rais wako mwenyewe na cheo alichonacho anakwambia akiwa kwake anampikia hadi mumewe na wala si jambo la kumshusha wala nini. Unakuta mtu ambaye anatukanwa mtaa mzima anajikuta kumpikia mmewe anadai si jukumu lake, lakini mmewe kumpa matumizi basi ni jukumu la mume.
ulishawahi kuishi na samia ukaona anayafanya hayo kwa mumewe..wanaume mmezidi mfumo dume dunia imechange huezi pima contribution ya mke kwa kuangalia tu mchango wake kwa kazi za ndani ndio maana TEKNOLOJIA imerahisisha maisha kuna machines za kusupport kazi unless otherwise
 
Mada yangu sio kutogawana majukumu Bali kumkashifu mtu kwakule kukosea katika kufanya huo mgawanyo wa majukumu.
Labda usome vzrii.
Basi hayo ni mapungufu ya baadhi ya hao Wanaume

Kuna njia sahihi za kumweleza Mkeo kwamba Kwenye mapishi yake ya leo chumvi alizidisha ama chakula hakikuiva bila kumuumiza kihisia

Mathalani unamwambia "Mke wangu, Asante Kwa chakula, umenipikia chakula kitamu kama mwenyewe ulivyoni Mtamu😋, ila kesho ukinipikia nitaomba upunguze chumvi kidoogo, uniwekee kama ile ya Juzi..."

Ujumbe unamfikia lakini bila kumfanya aumie kihisia.
 
Sasa kwenda shule kunaondoa Nini katika tabia ya mtu ya kashfa!?. Ukiweka msaidizi kwa pesa zako , atakukashfu tu hujui kupika, kwanini anapikiwa na msaidizi. Tabia ni kama ngozi ya mwili vigumu kuibadili
Kubali ukatae ukiwa unategemea kitu kutoka kwa mtu mwingine basi wewe ni mtumwa na ana haki yakukufanyia chochote . Mwanamke ukitaka usiteseke usiwe tegemezi .fulstop
 
Ya nini kuoa mwanamke mzembe kiasi hicho? Unakuta hayo mambo hajui kuwajibika na kunako vituz nako hajui, yupoyupo tu. Wa nini kama hajui majukumu ya kuolewa, bora arudi kwao akafundishwe namna ya kuishi na mwanaume. Mwanaue afanye kazi za kike ndani wakati mke wake yupo, huo ni uzoba
 
Si na wewe uoe mkuu uone ilivyo kazi kulea mtoto wa mtu hadi azeeke na akikuletea shobo ufungwe jela maisha na zaid ya hapo ukizingua ufe wewe...

Na mali zako unazotafuta kwa jasho na damu ziitwe za watoto na ndugu zako hawana haki juu yake

Hiyo ya kufua mbona ndogo sana...
Kwani unadhani pia ni kazi rahisi kuishi na mtu mwenye gubu na kashfa mpka umzeeshe!?. Bado kujaumwa presha na magonjwa ya sonona
 
ulishawahi kuishi na samia ukaona anayafanya hayo kwa mumewe..wanaume mmezidi mfumo dume dunia imechange huezi pima contribution ya mke kwa kuangalia tu mchango wake kwa kazi za ndani ndio maana TEKNOLOJIA imerahisisha maisha kuna machines za kusupport kazi unless otherwise
Kasema mwenyewe sasa kwanini nipingane naye wakati kasema mwenyewe.
Mfumo dume mnaulalamikia pale unapokuwa hauwanufaishi. Mfano linapokuja suala la mwanaume kutoa pesa za nyumbani hapo sasa si mfumo dume hapo sasa ni majukumu yake.
 
Yote haya ni ufukara wa kila kitu mpaka akili
Mwanaume anaetukana sio mzuri atakuwa hana maadili kabisa
Ila na mwanamke kulalama kufua huyo ni mvivu pia hafai
Wote hapo wamekutana dhiki juu ya dhiki
Hata mdada wa masaa kuja kufua mnashindwa? Hapo ndio matusi yanaanza
Kukaa mjini na hela hamna
 
Yaani kwanini umtukane mtu wakati unaweza kuongea nae kimya kimya. Kakushinda mrudishe kwao , kwani umekazimishwa uendelee nae.
na ndiyo maana toka mwanzo nimekwambia mume wako atakuwa na mdomo.
Ukweli ni kwamba feminsit hawezi kudumu katika ndoa. Na kama hupendi hizo kazi za nyumbani, hakikisha una pesa unajiweza na uolewe na serengeti boy, au mwanaume ambaye hana kauli juu yako.
Lakini ukiolewa na mwanaume ambaye anahakikisha anahudumia familia kwa kila kitu, anakutunza wewe na watoto pengine wakati mwingine hadi watu wa huko kwenu, basi na wewe utaplay your party kwa kufanya kazi za kutunza familia unless unafanya kazi unarudi umechoka, hapo kuna dada wa nyumbani ambaye pia ni jukumu lako kumsimamia.
 
Kasema mwenyewe sasa kwanini nipingane naye wakati kasema mwenyewe.
Mfumo dume mnaulalamikia pale unapokuwa hauwanufaishi. Mfano linapokuja suala la mwanaume kutoa pesa za nyumbani hapo sasa si mfumo dume hapo sasa ni majukumu yake.
sijui kwa wengine but in actual sense wanawake siku hizi tumeimprove sana. hao wanaondelea kudai kodi ya meza sijui ikoje maana siku hizi hata maisha ni kupeana support imagine unakua na mwanamke mnayesapotiana kufikia ndoto kubwa huwezi kuwaza habari ya kufua sijui maana mshasolve kwa kuweka machine,kupika kuna miundombinu supportive. trust me kuna LEVEL za wanaume hawahitaji hayo mambo maana machines zipo kusimplify work and not otherwise.

so kuna tofauti ya familia na familia hasa kiuchumi na kupata exposure za maisha mengine. Ahsante
 
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.

Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.

Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.

Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Si umwambie babako badala ya kupayukia huku?
 
Kama ni hivyo sawa na ndiyo maana kuna comment nimesema kama mwanamke anafanya kazi, basi mtakuwa na mdada wa kazi lakini bado majukumu ya huyo mdada atayasimamia mama kujua kama yanaenda na ndo maana mdada wa kazi anareport kwa mama si kwa baba.
Sasa kama mama hafanyi kazi anashinda home, mume analeta kila kitu na majukumu ya ndani hataki kuyafanya, sasa hapo ni nini?
By the way nimesema kama mumewe anamtukana mtaa mzima na huyo mume ana mdomo. Familia zinavyokuwa automatically kila jinsia inajua majukumu yake. Baba anajua majukumu yake, na mama anajua majukumu yake. ukiona familia baba au mama mpaka akumbushwe majukumu yake, hizo ndizo familia zenye migogoro.
 
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.

Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.

Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.

Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
watakuita feminist......akalelewe na mama yake if so. matusi tena badala ya pole na ahsante lol..
 
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.

Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.

Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.

Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Kama kupika, kufua ni hisani, ni lipi jukumu la mke kwenye ndoa?
 
Yaani mtu umesema ngoja basi tusogeze maisha Bado anakunanga , na Hela Hana😂
Kwani alikulazimisha akuoe?

Wewe akili huna,Mwanamke mwenye akili timamu na maadili hawezi kuanza kumsema mumewe mitandaoni eti hana hela!!

Wakati anakuoa hizo hela alikua nazo? Kwanini ulikubali akuoe?

Kama maisha yamekushinda rudi kwenu,kulalamika mitandaoni hakuwezi kukusaidia lolote,

Mwanamke timamu hawezi kutangaza maisha yake na ya mumewe mitandaoni.
 
Back
Top Bottom